Wana-jf habari zenu?
Kufuatia mzozo kati ya katibu wa tff mr. Mwesigwa na msemaji wa yanga mr. Muro, kuna tetesi zimevuja kuwa tff imeamua kuikomoa yanga kwa kumfungia Muro kuanzia kesho mara baada ya kikao hewa cha kamati ya maadili ya tff.
Ikumbukwe tayari Muro kashatumiwa barua jana ya kuitwa tff iliyojaa lugha ya kibabe na vitisho na inasemekana hata kwenye kikao cha kesho ni mbinu tu ya kwenda kumbamiza Muro.
Malinzi na vilabu vya mpira waache uhasama wataua soka.
Malinzi pia aache ukupe, kashashindwa kuiongoza tff.
Source: mdau ndani ya tff.
==================
UPDATES:
Hatimaye ile kesi iliyokua ikimkabili Muro ambaye ni msemaji wa Yanga, imetupiliwa mbali na kamati ya maadili ya tff kwa kuwa barua ya vitisho aliyoandikiwa Muro ilikua na mapungufu.
Safi sana Manji. Mwaka huu mpaka malinzi anye rungu.