Water Pump, Generator na Brush cutter zinauzwa

jokielias

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,203
359
Habari wadau, Tuna mashine mpya za water pump, Generator, na brush cutter zote kutoka kampuni ya Honda. kwa wale wadau ambao walikuwa wanazitafuta mali hizi basi nawaambia zimebaki chache stock na Kwa wadau wa mikoani tunawasafirishia mzigo (gharama utalipia)

1-Water Pump Honda Wb30xh size inch 3 inatumia petrol- Bei Mil 1 (warranty mwaka 1)
2-Brush cutter Honda Umk435, mashine ya kukata nyasi- Bei Mil 2 (warranty mwaka 1)
3-Generator EG 1000 Honda, k.v.1- Bei Mil 1.3 (warranty mwaka 1)
4-Generator FA2500 Honda k.v 2.2 - Bei Mil 1.4 (warranty mwaka 1) (Stock imeisha)
5-Generator EU20i Honda k.v.2 silent generator - Bei Mil 3.5 (stock imeisha)
6-Generator EG6500 CXS K.v. 5.5. - Bei Mil 5.1 (stock imeisha)

Punguzo na maelewano yapo.

SIMU - 0689866100, 0717518359 AU FIKA OFISINI KWETU MSASANI,DAR QUALITY MOTORS.


IMG-20160610-WA0010.jpg IMG-20160610-WA0000.jpg generator 1.jpg generator 1.jpg umk 435.jpg umk 435.jpg IMG-20160610-WA0004.jpg IMG-20160610-WA0011.jpg IMG-20160610-WA0007.jpg
 
Muuzaji naomba kuuliza swali ni genereta la kv linaweza kuwasha pump ya maji ya kisima??
 
Muuzaji naomba kuuliza swali ni genereta la kv linaweza kuwasha pump ya maji ya kisima??
Ndio Generator ya kv inawasha water pump bila matatizo.
Unachotakiwa kujua ni pampu ya maji ina horse power ngapi na inatumia umeme watts ngapi.
kwa mfano kama pump ya maji ya kisima mara nyingi zina horsepower nusu 1/2 na inatumia umeme wa watts 1500. kwahiyo Generator ya KV 2.2 ndio inafaa kutumika kuwasha pump ya maji ya kisima.

kama Pump ya maji ni yale makubwa basi generator za kv kubwa ndizo zinatakiwa kutumika.
 
Hakuna pump za submersible toka Honda?
hatuna submersible pump. tuna surface centrifugal pump (kama unavyoona kwenye picha) zinatumika sana kwenye irrigation na mashambani na kama unatumia kwenye kisima pump yake inakaa juu na mpira wake unaingia ndani ya kisima.
 
Hiyo genereta yenye nchi 3 inaweza sukuma maji mwisho umbali wa mita ngapi?
Mkuu naomba nikurekebishe genereta hazisukumi maji. genereta zinatoa umeme tu. water pump ndio inayosukuma maji. nikija kwenye swali lako, unataka kujua water pump inasukuma maji umbali gani??
Jibu langu: Honda water pump inaweza kusukuma maji umbali wowote mita 500 hadi mita 1000 na hata zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom