Recent content by EMACHA

  1. E

    JamiiForums Tanzania Breaking news: Lipumba atimkia CHADEMA

    Kumbe leo ni Aprili Mosi, eeeh..!!!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je, unakijua kikosi cha KM?

    Kikosi Maalumu cha Kutuliza Ghasia Magerezani (KMKGM)
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini wazazi wanaosomesha Private schools wanachukia Division 1 za Kayumba Schools

    Halafu wote hao (Kayumba & EM's) wanakutana vyuo vikuu na ngoma inakuwa droo!
  4. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

    Mzee wa kuona mbali huyu......kaiona 2025 akiwa 1995
  5. E

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa rais na wabunge usiwe na muda maalumu akifanya vibaya apigwe chini hata ndani ya mwaka mmoja akifanya vizuri aendelee hata miaka mia

    Huo ukomo wa uongozi ni muhimu uwepo, miaka 5 au 10; lakini isiwe guarantee, yaani akiboronga apigwe chini kabla ya kufikia ukomo huo..!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Elimu na maarifa ya ziada

    Vipi kuhusu Jonannesburg? Na sababu ya kuwa na three Capital cities, ni kwamba katika mihimili mitatu ya Dola kila mhimili una makao yake makuu tofauti...!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

    Apelekwe shule ya uongozi akafundishe!
  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni Kwanini Rais aliyepo Madarakani anafanya kampeni wakati bado Yuko Ikulu?

    Hakunaga ombwe la u-Rais, inabidi kuvumilia, Rais anamkabidhi Rais. Isipokuwa kipindi hiki walipaswa kupunguza baadhi ya Raslimali za serikali, na badala yake zitumike za chama. Nadhani kwa kuliona hilo, ndiyo sababu Tume (INEC) ikaja na ubunifu wa kugawa magari kwa wagombea wote wa u-Rais.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Asili ya majina Mikocheni, Masaki na Kariakoo

    "Vingunguti" ni vitu gani?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

    "Wajinga" nao wanakuwaga na akili....!
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

    TAL alisema tutakinukisha, hatukumueewa...Mapinduzi yataanza na CCM ndaa kwa ndaa..!
  12. E

    JamiiForums Tanzania 21st to remember. Tarehe 21 ya kukumbukwa.. A count down!

    21.08.2025 saa 2:00 2+1+0+8+2+0+2+5=20=2+0=2 Namba 2 inawakilisha asili, nguvu, ujasiri na matumaini.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Duh! Kwa hiyo ameamua liwalo na liwe!
Back
Top Bottom