napenda my boy avae shirt hasa la mikono mirefu,suruali ya kitambaa,na achomekee mkanda nje,thn akiwa juc hom,avae pensi ila si fupi,like thoz wanaziita psquare,na tshirt na viatu vya wazi.
hahahaha,msiogope jamani,things are easy kama umejipanga.kwa wale first year wanaosoma linguistics,karibuni kwenye page yetu in facebook,DUCE LINGUISTICS POINT,you will gain alot of things concerned language.mnakaribishwa sana.
ucjali,kama umepata asilimia mia,kuna other university costs,kama 77400, kama cjakosea ambayo ina inclde identity card,bima ya afya na vitu vingine,wch u must pay them,.
lazma ulipe,coz bum kwa first year huwa linachelewa kdgo,ila kama una pa kuishi ukitegea bum ts owky,ila kumbuka kuna deadline ya kulipia accomodtn,ukichelewa wanapewa wengine,kwa ushauri wangu,lipia kwa pesa zako,thn bum likitoka utareplace.
tambua uwezo wa kifedha kwenu pia,coz most of da courses whch belong to artists are non priority,keep it in ur consideration ucje ukahairisha mwaka bure the end of the day.
anaeiponda fani ya ualimu,si ajabu kaishia darasa la saba,xo haelewi anachosema,coz an intellectual cn never argue on such thngs,i hv doubt on that,samahani lakini.
hostel za duce ni chache sana,wengi mtapelekwa mabibo hostel au mbagala,ila mnakaribishwa pia off campas kama utashindwa shida za usafiri za huko,ila keep in mind,ukilipia hostel mabibo semester ya kwanza,ni lazima semister ya pili ulipie tena,Keep in ur consideratiom.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.