Kwenu kina dada: Mavazi yepi mwapenda wenzenu wavae

napenda my boy avae shirt hasa la mikono mirefu,suruali ya kitambaa,na achomekee mkanda nje,thn akiwa juc hom,avae pensi ila si fupi,like thoz wanaziita psquare,na tshirt na viatu vya wazi.
 
Hata nikiwaona sitawaelewa kabisa......

Labda hawa vijana vijana.....

Ila nikutane na mtu kama Kaizer yuko ndani ya skin jeans itakuwa issue (inshu)!!!

Babu DC!!
yaani mimi hata awe under 10 years....
kuna siku wanangu walienda kulala kwa marafiki. mama wa watu akaenda kuwanunulia nguo, zilikuwa nzuri kwa kweli, sasa wamerudi ndo wamevalishwa, bado kidogo nidondoke.... wamevalishwa suruali zinawabanaaaa, eti ndo swaggs sijui... yaani alipoondoka tu nikamwambia dada akawaigeshe.... kimya kimya nikaiba zile suruali na kuzifungia mbali kabisa ambako hakuna anayeziona. kila wakiulizia mimi nakuwa mstari wa kwanza kusaidia kuzitafuta (sikutaka wajue nimezificha maana katika maongezi na mwenzao wangeweza kuwaambia) mpaka leo hawajui nguo zao zilipotelea wapi.
kama unakuta pia mtoto wa kiume mdogo kavalishwa chain, akikua si atakuwa alishazoea!
 
Kumbe wewe mbaya kiasi hicho??

Babu DC!!
 
wallet sio babu sema zinasaidia kuchagua kivalo...

Simaanishi pesa mkuu.....

Yaaani nilitaka kujua hao wenzetu wanachukuliaje mtu aliyetinga suruali yake nzuri na wallet inaonekana Vs ambaya haweki wallet...

Babu DC!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom