Recent content by Elpaul

  1. Elpaul

    Ni siku ya tatu leo jirani yangu amenikasirikia nashindwa kuelewa sababu kuu ni ipi kati ya hizi?

    Utandawazi unawafanya vijana wengi wa kiafrica kuonekana wasitaarabu kumbe hapana
  2. Elpaul

    Nilivyopata Demu Mzungu

    Ila mwamba kampata, hebu na wewe kamchukue msingida aliyechangamka, harafu ulete ushuhuda hapa.
  3. Elpaul

    Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

    Ukiwa limbukeni unaendeshwa kama gari lililoshushwa giabox
  4. Elpaul

    Rais Samia: Misaada na mikopo wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu

    Unajua Nini mkuu kasema Wakati mwingine hii mikopo inakuwa na masharti magumu kiasi kwamba tunashindwa kuwa huru lakini ndo hivyo hamna namna.
  5. Elpaul

    CHAN hii naweza nkaihesabu kama hasara kubwa

    Nafikiri mwamba ni kama anatoa ushauri mkuu
  6. Elpaul

    Nilichogundua Bongo tuna wahamiaji haramu wengi sana

    Na hapa ukishadaka vitu hivyo unakuwa raia wa Tz tayari
  7. Elpaul

    Nilichogundua Bongo tuna wahamiaji haramu wengi sana

    Mkuu ni hatari sana, yawezekana serikali yetu kama ilikuwa na budget ya kuhudumia 40m people according to the last census now inaweza kuwa inahudumia 60m
  8. Elpaul

    Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

    Dah, sorry sorry so sorry.
  9. Elpaul

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Sina uhakika kama bumbuli yote Iko hivyo, matatizo huwezi kuyamaliza Kwa miaka mitano yautawala.
  10. Elpaul

    Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

    Nakupendekeza ukawe shemeji yetu.
  11. Elpaul

    Kwa nini jamii ya Waafrika imekuwa nyuma sana katika kubuni na kujenga majengo ?

    Hayo majengo yanajengwa sana Africa usichoelewa ni tofauti ya aliyeendelea na anayeendelea.
Back
Top Bottom