Recent content by Ellyson

  1. Ellyson

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    Ni sawa sawa tu na walio Katoliki ingawa mapadri wanabaka watoto na wengine wanafanya ushoga lakini waumini bado wanaabudu huko. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Ellyson

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    Kumbe ni vita kati ya Katoliki na Walokole!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ellyson

    JamiiForums Tanzania Nilivyomliza mke wangu kwa siku 366

    Hadithi zako tamu sana bibie. Kama kuna link naomba tafadhali.
  4. Ellyson

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Naibu Waziri Stella Manyanya amemsimamisha Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Bunamhala

    Mnatoa na kuweka watu wenu kwa kigezo cha kutumbua majipu. Tumewashitua mchezo wenu
  5. Ellyson

    JamiiForums Tanzania Kusinyaa/Kuziba kwa mrija wa mkojo (Urethral stricture)

    Somo zuri sana. Kwani na mimi ni mmoja wa waathirika.
  6. Ellyson

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

    Mwambie akuoe kabisa ili kila siku uwe unamwona
  7. Ellyson

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

    Wewe ccm wamekufanyia lipi jema?
  8. Ellyson

    JamiiForums Tanzania Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    Mwenye akili fupi tu ndo nyeweza kuwaza na kupost pumba hivi. Badala ya kusema watafanya vipi nchi iwe na maendeleo wewe unawaza upumbavu
  9. Ellyson

    JamiiForums Tanzania TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Bora kuzungusha mikono ila siyo kuchezewa kiakili hadibunageuka zombie.
  10. Ellyson

    JamiiForums Tanzania TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Sijui umeandika kitu gani ewe mdanganyika
  11. Ellyson

    JamiiForums Tanzania TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Serikali ya wakurupukaji ni shida
  12. Ellyson

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Chokoraa

    Hadithi za mzizi mkavu
  13. Ellyson

    JamiiForums Tanzania Sorry madam (Destination of my enemies)

    mbona story imeruka sana toka 70 hadi 81?
  14. Ellyson

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Kikwete, kwaheri uhuru wa kupata habari/kujieleza

Back
Top Bottom