Recent content by Elly ceejr

  1. Elly ceejr

    Hii app ni msaada sana kwa wale wanafunzi wa vyuo na wanaotafuta kazi

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] GLOBAL ALLIANCE never try homie
  2. Elly ceejr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mtaji wa kesho [emoji120]
  3. Elly ceejr

    Tiba ya maumivu ya kiuno kwa mtoto wa kike

    Habar za jion wapendwa Niend moja kwa moja kwenye maada kama kichwa kinavyojieleza mim ni binti wa miaka 20 nimepatwa na ili tatizo la kuumwa kiuno awali nilipima nakugundulika kuwa nina PID nikapewa dawa ambazo nimekunywa week 3 lakin kiuno kinaniuma mno , nimekuja apa niombe msaada nifanyaje...
  4. Elly ceejr

    Naombeni ushauri juu ya huyu binti:

    Niend direct kweny maada Kuna binti nmetokea kumpenda sana nmeanz nae mahusiano mwaka jana tumekua tukiendlea vzur san lakin siku ya jana cjamuelew kabsa aliniaga anaenda kukutana na kaka ake Kurasin mida ya saa 1 ucku na atarud saa 2 ucku lkn mpk saiz bado hajarud nlijarbu kumpgia cm mara6...
  5. Elly ceejr

    Kwanini Watanzania ni masikini? Nimeokota stakabadhi za ATM, hawana kitu kabisa

    Mkuu bank unaweka fedha yann badala yakuweka kweny mirad kweny account unaweka only for emergency
  6. Elly ceejr

    mama mlezi.mwenye mapenzi ya dhati

    Rudi shule kwanza ukajue maana ya izo nukta.
  7. Elly ceejr

    IVI NANI MCHEZAJI BORA TPL MSIMU HUU 2018/2019?

    Ligi inachangamoto sn hii
  8. Elly ceejr

    IVI NANI MCHEZAJI BORA TPL MSIMU HUU 2018/2019?

    Polen na mihangaiko ndugu zangun Niende moja kwa moja kweny maada husika nlikuwa najarb kuwaza ivi ni nani anaweza kuwa mchezaj bora msimu huu wa 2018/2019 katka TPL ? na ukiangalia ligi inaelekea ukingoni. Kwa mtazamo wangu nadhani Ibrahim Ajibu Migomba kwa kuzingatia takwimu zake mpaka saiz...
  9. Elly ceejr

    Tunaitoaje CCM madarakani?

    I think the issue of changing the constitution was a good idea which directs the opponents where to start
  10. Elly ceejr

    NATAMANI SANA KUWA MJEDA WAPI PAKUANZIA

    Asant kwa ushaur mkuu.. Kwasas ni mfanyakazi ila napenda ujeda sn.
  11. Elly ceejr

    NATAMANI SANA KUWA MJEDA WAPI PAKUANZIA

    Academic info kam zip mkuu .... Nimesem nimemaliza shahada ya kwanza ya uhasibu .
  12. Elly ceejr

    NATAMANI SANA KUWA MJEDA WAPI PAKUANZIA

    Habar za muda huu wana jf Mimi ni kijana wa miaka 25+ niende moja kwa moja kwenye maada ndoto yangu kubwa ni kuwa soldier tokea nikiwa mdogo nilikuwa nataman san kuwa mjeda ila muda ulikuwa hujatimia ila kwasas naona ndio muda mwafaka baada ya kuhitim shahada . lengo LA hii thread ni kutaka...
Back
Top Bottom