Recent content by Elizabeth Moston

  1. E

    JamiiForums Tanzania Si bure kuna roho ya ubahili inanifuatilia

    Kuna raha gani ya kuitwa mkarimu wakati Mke na watoto wako wanakuona bahili kwao? Cha kwanza mshirikishe Mkeo hayo mapato yako itakusaidia kutotoa ovyo pesa lakin atakukumbusha matumizi ya lazima kabla ya kutoa pesa. Pili Wekeni pasent labda 7% ya mapato Kwa mwezi ndio itatumika kutoa msaada...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kutoka Private school kwenda Government school

    Kaa na mtoto vizuri huenda kuna maneno walimu au wenzake wanakuwa wanamwambia yanamvunja moyo. Pata hata mwanasaikolojia akusaidie. Nilipeleka binti memkwa ajue KKK walau. Baada ya mwezi nikaona hakuna nafuu YOYOTE. Nikawanatumia mkali nikafikiri anazembea. Nilipofanya uchunguzi vizuri...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo juu ya hawa wanaokiita MKIKITA isije kuwa wao ni kama Namaingo

    Taarifa zaidi nenda ofisini kwao watatujuza kwa undani then unafanya maamuzi.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Itunze Ndoa yako, Mke fanya haya kwa Mume wako

    Ukitaka kubadilishakitu chochote jiangalie wewe na ufanye mabadiliko. Mwenye kujenga au kubomoa nyumba ni mke. Siri hii Ni kubwa lakin inawezekana kwa aliyetayari.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Wiki ya 41 sasa mtoto hajazaliwa

    Binafsi nilipitiliza hadi 42 weeks na nilijifungua normal. Akazane mazoezi sana. klinik ya mwisho niliambiwa placenta inanyauka so opp nifanyiwe.ilikuwa ijumaa dr akasema niwahi j3 aniopp but j2 nilijifungua salama.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu kama Step Up Loan sio matapeli

    Mi niliona pia face book nikapiga simu aliepokea alikuwa dada akanambia hawana hilo tangazo facebook. Wao wanapatikana posta jengo linaitwa Patel. Kama unaweza nenda mi sijafanikiwa kwenda bado.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Muhimu kwa wafugaji wa kuku Dar

    Tatizo ni wapi waaminifu? Bachi ya bloira nilotoa wiki jana ilinisumbua sana kukua.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nauza bloirer( kuku WA nyama)

    Asanten nyote kwa ushauri!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nauza bloirer( kuku WA nyama)

    Asante kwa Ushauri ndugu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nauza bloirer( kuku WA nyama)

    Napatikana kwa no: 0784225044 0717921776
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nauza bloirer( kuku WA nyama)

    Kuku wako 290 @6000/= Wanapatikanaje Makuburi - kibangu. Karibu
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hongera kwa maono hayo. Ili ufanikiwe jitahidi kuzuia magonjwa na so kutibu. Wachanje chanjo zote muhimu kwa wakati. Kideri Kuna chanjo, gumboro pia na ndui ina chanjo. Ushauri wangu kwako tafuta elimu kwa wataalam hata Kama itakuwa Ni ya kugharamia Ili upate maarifa.
Back
Top Bottom