Nauza bloirer( kuku WA nyama)

Ricecooker

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
497
1,000
Unajua wabongo kwenye matangazo Hamna kitu kabisa,halafu kila siku wanaelimishwa humu.Sijui tatizo ni nini?ingia hata Alibaba uone jinsi wachina wanavyotoa matangazo yao,sasa hapa MTU anakukuluka na vitangazo vya mistari miwili.Oya hao kuku tafuta meza sehemu then uwakaange uuze kwa bei ya chini kidogo kuliko wakaangaji wengine,hii itakuongezea profit margin maana kuku hao ni wachache sana.
 

Ricecooker

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
497
1,000
Au waweza kuwauza wabichi mezani ambapo kila upande elfu 3,filigisi elfu 1,shingo 500,miguu +kichwa+utumbo 500.Jumla ni elfu 8 kwa kila kuku.wakiisha ungiza kuku 400 bandani,kumbuka ujasiriamali ni kwa watu wajasiri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom