Kitu gani hufanya mwanamke ampende mwanaume asiye na kitu na kuwakataa matajiri?

Maskini lazma uwe na machine kiunoni...
lakini hela ina apply... Pia
maxresdefault.jpg
 
MAMBO AMBAYO HUPASWI KUMFANYIA MWANAMKE ANAEKUPENDA KWA DHATI
1. Usimuumize moyo wake
2. Usi 'pretend' unampenda ili ufanikiwe kufanya yako.
3. Mtukane vyovyote vile ila sio wazazi wake na kumwambia kuwa yeye ni mbaya.
4. Usimfananishe na wanawake zako waliopita.
5. Usimchukulie kirahisirahisi (Never take her love for granted)
6. Usimpige
7. Usimsaliti na kuonyesha kabisa dharau ajue kuwa una 'cheat'
8. Usimvunjie heshima kwa kumgombeza mbele za watu.
9. Usimpotezee muda wake kama hauna mpango wa kumuoa, unamchelewesha kupata mume bora.
10. Usimfanye ajione hapendwi na ana mkosi hapa ulimwenguni, huo ni ujuha.
11. Usimbake
12. Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri hiyo haipunguzi nguvu za kiume.
13. Usimpe mimba na kumkimbia au kumwambia aitoe, kama huna nia ya kumuoa achana na hayo mambo, nadhani unajua kabisa matokeo ya kufanya ngono.
Sometimes wanaume ni pasua kichwa vilevile, unakuta unapata mwanamke anaekupenda kwa dhati, mwanamke ambae ni potential, mwanamke ambae hakodoi macho pochi yako, ila masikini ya Mungu anaishia kuumizwa na kulia kila siku na kujilaumu kwanini alikupenda.
Wewe fanya hivyo ukidhani unamkomoa, ila siku na wewe ukibananishwa na mwanamke mjasiriamwili utaisoma namba, nakwambia utauza hadi boxer.
Baadae unakuja kulalamika hapa 'wanawake wanapenda pesa, wanawake wanapenda pesa.' ukishikwa shikamana.
Na kama humpendi usimtongoze!
Usimpige ndege Jiwe kama ujandaa mazingira ya kumuokotea
 
Unatujibia? Au Na wewe ni mdada?

Nawajibia from my own experience. Nilishawahi kuwa na mtoto wa kike from family ya kishua tena kishua haswaaaa. Maana ni zile family ambazo mtu akiumwa basi ni safari India. They were rich, and kama unavojua watu wa sample hii huwezi ingia kwake kwa Gia ya hela maana hela si tatizo kabisa kwake. You need to be really.

She was beautiful and she was loving me mno, lakini kila nikiuwazia ukapuku wangu nilikuwa najiona kama nampotezea muda vile maana niliona kama vile hata kwao naweza kuwa rejected.

I just left her finally, I think nilikuwa right according to what I was believing
 
Malengo, muda wake, na kujalia

Bora uwe na maskini anayejitambua na mwenye malengo ya mafanikio. Kuliko kuwa na tajiri mwenye dharau, hana muda na wewe na performance ni zero
 
Back
Top Bottom