Recent content by Elius Obadia

  1. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Poleni sana namna sumbuliwa na tatizo hilo..kama unahitaji kupona na una imani nione inbox.
  2. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Singida Kaskazini: Mgombea wa CHADEMA aliyepitishwa na NEC ajitoa kwenye uchaguzi

    Siasa za tumboni...aibu tupu.
  3. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Mtu akitoja Chadema mitusi kibao , akiwa ccm akaja chadema. . Pongezi kibao...unafiki putu siasa za nchi hii... .!!!
  4. Elius Obadia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Swala la mapezi lina usiri mzito dada ,bado hujaweka wazi zaidi ili usaidiwe.ni kipi uliwahi mchanyia mumewe wa zamani ambacho unazani hakikumpendeza?
  5. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kakunda: Binti hatoolewa bila 'leaving certificate' ya form four

    Kwel mzee mwendo wa cheti tu...mawaziri balaa
  6. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Simama imara kijana katika maisha

    Mkuu tupe mbinu.
  7. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

    Nmmmmm non logic
  8. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Habari Njema kuhusu Tundu Lissu: Atoka chumba cha upasuaji akiwa vema

    Amen... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Marekani yalaani tukio la kushambuliwa kwa Mtanzania Tundu Lissu

    HAYA SI MAGENI KWA NCHI ZA Africa , Mungu amtangulie apone Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Sino Poultry Farming Products; Incubators, Chicken Cages etc

    Tupia namba za simu au email kwa ajiri ya mawasiliano Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    MKUU kuku hatagi kwa kupandwa na jogoo...Kuku hutaga kulingana na lishe bora unayompa.Jogoo hutia mbegu tu ili kupata mayayi ambayo yanaweza kutotolewa au kutoa vifaranga. Mimi nakushauri wape lishe yenye mchanganiko sahihi wa lishe utaona .lishe ya kuku unaweza changanya Dagaa, mifupa, pumba za...
  12. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania CUF ya Maalim yatolea ufafanuzi uvamizi wa Mungiki wa Lipumba kwa vyombo vya habari

    Nchi ya amani. ..teh teh...na bora Somalia
  13. Elius Obadia

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli naomba Uingilie Kati Siku hizi Kuajiriwa ni Kuanzia Miaka 18-25?

    HADI UMRI WAGEUKA SIASA DUUUUU...NCHI HII
Back
Top Bottom