Recent content by Elisa Masha

  1. E

    Makanikia: Sura halisi za Tundu Lisu na Zitto Kabwe kujulikana kesho

    Usiniii nikitu cha akili unaongojea report ambayo wakuu wameshapewa wakajidhirisha kuwa inawapa kikiiii na inaenda nawanachotaka ndio mnatangaziwa mwangalie ..tutumie kariongo wew kapige kazi wacha vidume visuguane..Ila nia ya mkuu ninjema sana
  2. E

    This Kenyan street kid anaongea Kiingereza kizuri kuliko Magu na watanzania wote

    Sio watanzania wote alfu kingereza nilugha hivyo kujua au kutojua sio ugonjwa kwani ulizaliwa uongee lugha zote angekuwa hawezi kiswahili hapo sawa..kingereza nilugha ya waingereza ...
  3. E

    Sijui maana ya dili lakini hali ni mbaya

    Nikweli maisha ni magumu kipindi hiki ila watanzania tunaishi maisha ya kukariri hatupendi sana kubadilika. Unakuta mtu anabiashara inamnyonya tu haoni faida lakini bado anaikopea anateseka kurudisha mikopo kwa mfumo huo huwezi ona hela usione aibu kufunga biashara nakwenda kufanya kitu kingine...
  4. E

    Gambo, kama ni mkusanyiko usio halali mbona wafiwa umewaacha?

    Shida sio kukusanyika shida take hakukaribishwa yeye angekaribishwa yeye asingesema chochote..ni aibu sana watu wanashindana kwa kickIf someone asked you, 'What are you living for,' how would you respond? That is, what is your goal or your objective in life? Everyone is living for something...
  5. E

    "Arusha sio Tanzania"

    Arusha ni mji bora sana nilazima uchangamke sana gharama zamaisha arusha nijuu sana ..nyumba juu mpaka mitaani hii huchangiwa na wageni wengi.utalii na madin ya tanzanaiti hivyo hakuna kupatana sana biashara ni short cut bei fluni kwisha hakuna hadisi ndefu sana
  6. E

    HUZUNI: Watanzania kuwaaga Watoto, Waalimu na Dereva wa ajali ya Karatu, uwanja wa Sheikh Amri Abeid

    BWANA YESU ASIFIWE WAPENDWA!!!. Naanza kutoa pole kwa watu wote tulioguswa na msiba huu wa watoto shule uliotokea huko Karatu katika ajali ya barabarani. Tunawapa pole kwa familia ndugu na jamaa wa Marehemu na wote waliofikwa na msiba huo. Pia naomba pata muda kidogo wa kufanya toba kwa...
  7. E

    Video: Mkuu wa wilaya Ilala amfukuza mwenyekiti wa mtaa akidai amemjibu vibaya

    Nilikuwa nataka kuuliza hivi mwakilishi wawananchi aliyechaguliwa na wananchi anaweza kufukuzwa kama mfanyakazi wa kampuni..kwanin viongozi wetu hawafwati katiba..
  8. E

    Kwa wale mnaoamini ajali ya bus la Lucky Vincent imesababishwa na uzembe wa watu

    Kwa wasio jua Hilo eneo unaweza fikiri niuzembe ila liko namlima unaohitaji adabu kubwa sana sasa yawezekana kwa ugeni wadereva ndio yo shida iliyo mkumba kunamtelemko mkali kiasi kwamba ukivutwa pembeni kama ulibonyeza kidogo lazima uende nje...
  9. E

    Huenda shirika la kazi duniani na shirika la haki za binadamu wakajitosa sakata watumishi 9932

    Mim ningeshauri kwasababu imebainika wanavyeti fake watolewa ila huku nyuma walipiga kazi na wakakatwa pesa zao hivyo walipwe haki zao waondoke la sivyo huo niuonevyo mkubwa nnssf ya mtu nijasho lake alipwe na kiinua mgongo chake kisha aingie kitaa akapambane
  10. E

    Mimi ni mwajiri lakini nimekuwa kama mtumwa kwa wajiriwa

    Okay sasa mkuu nilazima kukubali kwamba biashara inarun kwa hasara hivyo either karibu kuuza kama share umiliki kiasi ili uweze kupata fedha yakuongeza mtaji wako kwasababu haitskiwi mapato yawe constant ...
Back
Top Bottom