Alifariki aiseeDereva alitoka salama?
Kivipi barabara iwe chanzo cha ajali Mkuu? Ni barabara au uchochoro tu wakaforce kupita?Je! Barabara ya eneo ilipotokea ajali haiwezi kuwa chanzo cha ajali?
Nimeziona picha na nimesoma maelezo mengi humu ndani. Barabara kuwa chanzo ni endapo mteremko huo, kona na darajani hakuna kingo (Guard Rails) imara kunusuru gari kutumbukia korongoni. Example ni mlima Kitonga-Iringa.Kivipi barabara iwe chanzo cha ajali Mkuu? Ni barabara au uchochoro tu wakaforce kupita?
Na mimi nilikuuliza makusudi tu, nilitaka uniambie kuwa walipita barabarani, kwa dereva aliyefunzwa , barabara inazungumza nae juu ya yeye aliendesheje gari lake kwa eneo husika, kaka hulijui hilo? Kama kulikuwa na mtelemko na korongo, mita kadhaa nyuma barabara ilishamwambia, ugeni wa barabara si kings tena ndio sababu ya kuwa makini, nadhani umenielewa.Nimeziona picha na nimesoma maelezo mengi humu ndani. Barabara kuwa chanzo ni endapo mteremko huo, kona na darajani hakuna kingo (Guard Rails) imara kunusuru gari kutumbukia korongoni. Example ni mlima Kitonga-Iringa.
Kwa wasio jua Hilo eneo unaweza fikiri niuzembe ila liko namlima unaohitaji adabu kubwa sana sasa yawezekana kwa ugeni wadereva ndio yo shida iliyo mkumba kunamtelemko mkali kiasi kwamba ukivutwa pembeni kama ulibonyeza kidogo lazima uende nje...Nimeziona picha na nimesoma maelezo mengi humu ndani. Barabara kuwa chanzo ni endapo mteremko huo, kona na darajani hakuna kingo (Guard Rails) imara kunusuru gari kutumbukia korongoni. Example ni mlima Kitonga-Iringa.
Kwa hiyo ni dhahiri barabara haina kingo.Kwa wasio jua Hilo eneo unaweza fikiri niuzembe ila liko namlima unaohitaji adabu kubwa sana sasa yawezekana kwa ugeni wadereva ndio yo shida iliyo mkumba kunamtelemko mkali kiasi kwamba ukivutwa pembeni kama ulibonyeza kidogo lazima uende nje...
Huu msemo ulishapitwa na wakati, ajali zote zina kinga. Siku hizi dunia inaangaikia majanga ya asili, acts of God, sio ajali tena. Hatufuati sheria wala kanuni, halafu tunasingizia ajali haina kinga, za wapi hizi.Tuambie in uzembe wa nani?
1 Dreva
2 Serikali
3 Waalimu
4 Wazazi?.
Ila kumbuka ajali haina kinga.
Ni barabara au uchochoro wa kupitishia ng'ombe yeye amefosi tu kupita? Hata kama ni barabara haikuweka alama, uzembe ni wa mamlaka husika. Hakuna ajali isiyo na uzembe kama haihusishi janga la asili.Kwa wasio jua Hilo eneo unaweza fikiri niuzembe ila liko namlima unaohitaji adabu kubwa sana sasa yawezekana kwa ugeni wadereva ndio yo shida iliyo mkumba kunamtelemko mkali kiasi kwamba ukivutwa pembeni kama ulibonyeza kidogo lazima uende nje...
Haujapitwa na wakati,unaweza ukajifanya wewe unaendesha kwa umakiinii akaja mzembe mmoja akakugonga na akakutoa roho,ajali humkuta hata mwenye tahadhari.Huu msemo ulishapitwa na wakati, ajali zote zina kinga. Siku hizi dunia inaangaikia majanga ya asili, acts of God, sio ajali tena. Hatufuati sheria wala kanuni, halafu tunasingizia ajali haina kinga, za wapi hizi.
Hikuliacha neno uzembe hapo, cha msingi kujua kama sote tutakuwa makini, tukizifuata sheria na kanuni zote za barabarani, na kanuni za kulitunza na kuliendesha gari, ni act of God tu itakayoleta mauaji.Haujapitwa na wakati,unaweza ukajifanya wewe unaendesha kwa umakiinii akaja mzembe mmoja akakugonga na akakutoa roho,ajali humkuta hata mwenye tahadhari.
Serikal ilaumiwe coz baada ya kulijenga lile daraja hawakuweka kingo za darajaTuambie in uzembe wa nani?
1 Dreva
2 Serikali
3 Waalimu
4 Wazazi?.
Ila kumbuka ajali haina kinga.
Hapa nakuongelea wewe hapo unaesema ajali haina kinga imepotwa na wakati,Kinga yako i wapi sasa kwenye situation kama hiyo?Hikuliacha neno uzembe hapo, cha msingi kujua kama sote tutakuwa makini, tukizifuata sheria na kanuni zote za barabarani, na kanuni za kulitunza na kuliendesha gari, ni act of God tu itakayoleta mauaji.
Kinga yangu ni watu wote tufuate sheria na kanuni za barabarani na uendeshaji.Hapa nakuongelea wewe hapo unaesema ajali haina kinga imepotwa na wakati,Kinga yako i wapi sasa kwenye situation kama hiyo?
Its impossible kwa madereva wote kua makini barabarani,ndio maana ukienda kufundishwa udereva unaambiwa ukiwa unaendesha gari yako,"uendeshe" na ya dereva mwenzio.
Kwanza magari yanaendeshwa na watu.Human error kila sehemu mkuu.Hata hayo magari yaliyokua programmed kujiendesha yanapata ajali pia.
Acha ubishi usio na maana.Kinga yangu ni watu wote tufuate sheria na kanuni za barabarani na uendeshaji.