Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,385
Tafuta biashara nyingine nje ya hiyo... Kwenye hiyo Coy. badilisha baadhi ya vitu ili uende sawa na hali ya uchumi
Sijui ni biashara gani unafanya lakini kama huwezi kupunguza wafanyakazi basi ongeza price ya services zako ili uongeze faida.Wakuu wengi mmeshauri nipunguxe wafanyakazi fine lakin hilo nililiona mda button it's a professional business ambayo kitengo laxima kiwe na mtu by profession so ikifika hapo iyo sehem inaitaji that person
13m less 3m rent advert is 5m monthly baada ya kupinguza kuna other running cost piaUshauri Wangu itakikao cha zarura keti kitako na wafanyakazi kama wote nimuhimu punguza mishahara yao wote kisha angalia unabaki nakiasi gani mkonon ila umesema you earn about 30m sasa kama mishahara na kodi inakwenda 17m hiyo 13m inaenda WAP...cheza na mahesabu vizuri others ajiri mtaalamu wa biashara wew baki msimamizi usijihusishe na mambo ya fedha nawew upokee tu mshara utaona faida sana
Okay sasa mkuu nilazima kukubali kwamba biashara inarun kwa hasara hivyo either karibu kuuza kama share umiliki kiasi ili uweze kupata fedha yakuongeza mtaji wako kwasababu haitskiwi mapato yawe constant ...13m less 3m rent advert is 5m monthly baada ya kupinguza kuna other running cost pia
Unakampuni theni kwenye S unaweka X kama mademu wa o-level inabidi ukapimwe akili
kuwafanyia watu kazi nayo ni njia ya kufikia mafanikio...Note 6m ni kodi kwa mwezi ili Kuwa nikapunguza eneo saiv ni 3m kwa mwezi na mshara ni ni natumia 14m kwa mwezi yani mimi sina hata mshahara
Nina kampuni Dar nina wafanyakazi 20 mbao mishahara yao ni kati lak2 na 1.5m.. nilianza 2010 hadi Leo. Ila nina hali mbaya ya uchumi kulingana na ninachokipata lakini mpaka sasa sidaiwi na mfanyakazi yeyote mshara wa mwezi wa 3 wala kodi ya pango nalikuwa nikilipa 6m kwa mwezi Ila kwa sasa nalipa 3m. Ila nishara hiyo na kodi nalipa kwa imani ya mungu.
My point for last 4 years tangu 13,14,15,16,17 ninaishi maisha ya shida yani ninachopata mimi ikizidi Ni hela ya mafuta ya gari na hela ya kula basi au ninywe bia 3 Mara1 kwa wiki .
Kitu ambacho mimi kinanifanya kuona kwamba naishi kwa ajili ya hao wanaonitegemea kumbuka yeye mpaka alipwe mshara wake na rent ilipwe na garama zingine xa serikali na other running cost.
Mwezi makusanyo napata kama 30m lakin cpati chochote wala my family kuenjoy Kuwa baba ana ofc imefikia sehem hata ile kumpa mtu business kadi ilioandikwa director naona aibu naishi bila matumaini ya Kesho naishi ili mfanyakazi aishi.
Ila miaka 3ya mwanzo hali haikuwa mbaya nilichokuwa napata nikawa naimarisha ofc..
Nikisema nifunge ofc wafanyakazi wanikumpatia boss please tusubir huwez kuja ya Kesho Ila akija kudai mshara ndio utamjua na wenye jengo nao hawana maongexi maana ni shirika
Naongea kwa masikitiko maakubwa sana na sina saving yeyote ile ya kuanxisha kampuni nyingine au biashara yeyote ile Ila nafahamu biashara nyingi mpaka sasa...
Naomba ushauri ndugu zangu