Recent content by Eliphaz the Temanite

  1. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Dawasco Shirika linatia hasara serikali kila siku

    Hivi DAWASCO hawaoni? Kila kukicha mitaani maji yanamwagika mpaka yamechimba mitaro. Halafu somewhere katikati ya mwaka tunaambiwa maji hayatoshi unaanza mgao wa maji!. Yaani imefika hatua mpaka ukitaka kujua maji yanatoka utaona tu mtaani jinsi maji yanayo vuja kila kona! Uko convert maji...
  2. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania tunaachwa na ndege abiria amesha-check in

    Unakoseaje umesha check in na wameita wametaja majina matatu nyie ni abiria wa mwisho tumefika pale tunaambiwa ndege wameshafunga unamwachaje mtu ambaye kwenye system yako amesha check in tayari ku board?
  3. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania tunaachwa na ndege abiria amesha-check in

    Bichwa lako, kama hujui kinachosemwa si ukae kimya
  4. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Hongera waziri wa nishati Mh. January Makamba kwa kuanza kuifufua sekta ya gesi asilia Tanzania

    He is the legend of Sika!! Getting back to the square where we started..... When was the last time did we get to eat honey out of apiary
  5. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Unawaibia na kuwadhulumu watu korosho zao unaenda kujenga kwenu

    Mmeishiwa sera... Jikazeni!
  6. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

    Atheist gani hata hujala nyama ya MTU!!!
  7. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu huyu mwanamke

    Azalishwe nje, akuombe msamaha bila kukuambia hilo anapata guts za ku post status, wewe unaambiwa ki ajali, ajali tu... Halafu unaamini kabisa una nafasi kwenye moyo wa huyo mwanamke.... Ur just a rebound....
  8. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

    We have moved from easy money.... To hard earned money by working..... There is no longo longo as it used to be..... So suck it!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Tanzania is Constructing $100 Millions New Stadium in Dodoma...

    We dont have such names in Tanzania, whoever these freaks are must be implants..... So why don't you jus mind your business! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Raila kuja Tanzania Jumamosi kuishawishi Serikali juu ya COVID-19

    Ugonjwa upi? Watu wanacheza singeli na ku celebrate happy birthday wodini..... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mkuu wa Mkoa kumkejeli Rais wa nchi?

    Hii minyang'au unaitetea ya nini? Yameacha kusema ya kwao kutwa kusema ya kwetu... Ati.. #ukaidiwamagufuli. Kwao lock down ni kuanzia saa 12 jion mchana Nairobi is packed like gereza la tewa... Halafu wanajiona wamechuchua measures saaana.... Nyang'au kabisa! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Wazungu wametuzidi mambo mengi sana hadi mapenzi wametuzidi

    Hadi dawa.... Dawa tunazo zinatibu maradhi tunayougua lakini tukipeleka WHO ati mpaka waseme wao kuwa zina faa a.... Pandenga!!!!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya vipimo vya "sampuli za Magufuli" ni ya kizushi

    Dunia nzima inalalamikia test kits and u there with ur form 6 biology writing an essay on it...? Look who did say it was positive, negative, inconclusive etc...them....the lab... So go ask em... What - ve means and inconclusive means... Chinese can give you shits and yo all take it like...
  14. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Wafanyakazi wa Tanzania Tutafakari Kama Tunayosababu ya Kusherehekea

    Kusema ukweli wafanyakazi tumenyanyasika awamu hii... Hakuna mahali dunia mfanyakazi wa umma amaweza kukaa miaka bila nyongeza, increment ya mshahara.... Jamaa amekaa kana kwamba hajui... Chapeni kazi???? Inauma sana.. TUCTA ni nafuu ya utopolo.... Yamekaa tu... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom