Naomba ushauri kuhusu huyu mwanamke

Naomba ushauri kuhusu huyu mwanamke

Yani huyo alipewa mimba akaachwa,akaona bora akutafute bwege wake .

Achana na huyo kiumbe, au kama vipi uwe unajipigia tu
 
Ebu jaribu kumwambia kuwa na ww una watoto wanne umezaa baada kipnd haupo nae
Kwahyo wakwako wanne na wakwake wawili mnaanzisha team ya basketball
 
Mk*nd* wako loser wewe..

Hata kutongoza si ajabu hujui wazee wa kusubira makombo eti nilikuwa nampenda sana faR* kabisa jipeleke tena zezeta pendapenda....

K*ndu lako

Umeniuzi kweli kweli
 
Unataka tukupe ushauri huu " msamehe, mrudiane. Mlee watoto Mungu aliowajaalia. Kitanda hakizaia haramu" eti.?
 
Hakikisha hao malaika baba yao kafa na kaburi umeliona

Jokajeusi njoo utie neno katibu mkuu wa kuwaambia ukweli single mothers Tanzania
Kwanini watoto mnapenda kuwaita malaika. Kwani malaika wana akili za kitoto nao wanavalishwa pampers. Yaani malaya wawili wanazini wanajaza mitoto isiyo na ukaribu na mungu mnaita malaika. Ina maana kuna mwanamke na mwanaume wazinifu walishazaa malaika. Ndio mambo ya kukubali kuitwa nchi ya wanyonge.
 
Mwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa kwenye mahusiano hot ya kimapenzi yenye ndoto za kuja kuishi pamoja na huyu mwanadada

Mimi nikiwa mwajiriwa wa serikali yeye akiwa kwenye taasisi za ukopeshaji ,baadae akahamishwa na taasisi yake kwenda mkoa jirani,hata hivyo mapenzi yetu yalikuwa ya moto

Miezi michache baadae akaanza kuonyesha dalili za kutaka kiniacha,mara hajibu sms kwa wakati,hapokei sim,baadae nikachoka moyo binafsi ila nikafanya uchunguzi nikagundua ana mahusiano mengine na mtu mwingne nikaamua kuachana naye rasimi

Miezi 3 iliyopita nikiwa bize na harakati zangu,kuchek whasap nikakuta sms yake ikinijulia hali nami nikajibu fresh,baada ya siku tatu akanipigia sim akiniomba msamaha na maelezo kibao,sikumwelewa akamtumia rafiki yangu wa karibu akalialia akanishawishi basi nikamwambia nipe muda,kadri siku zinavyoenda mawasiliano yakawa ya karibu zaidi

Basi kwa kuwa moyo wangu ulikuwa unampenda huyo mwanamke ikabidi nianze kurudisha mahusiano

Lakini baada ya mwezi mmoja kupita nikaingia whasap kuperuzi nikakuta status yake ina watoto mapacha,nikamuuliza vipi wanao au akanijibu ndio nilijifungua mwezi uliopita

Alivyoniambia hivyo moyo wangu uliuma hatari sikumtafuta tena wala sikupokea simu yake wala sikujibu sms zake

Sms aliyonitumia ya mwisho ikasema hivi" Nilijua hunipendi tangu awali,huna mapenzi ya dhati,ungekuwa unanipenda upendo wako ungedhihirika kwenye kipindi hiki kigumu cha maisha yangu ,kumbuka hawa ni malaika tu hawana kosa ,ndio nimefanya makosa makosa kwani wewe huwezi ukafanya makosa ya kuzaa nje? "

Ila kimoyo moyo nami pia nimezaa nje mtoto mmoja

Wadau naomba ushauri
wewe kama mwanaume
1.fanya maamuzi kulingana na matakwa uliyojiwekea na usiendeshe kabisa na hisia kufanya maamuzi.
2. usihalalishe kosa hata siku moja eti kwakua once ulishawahi kukosea.
mwisho wa yote kumbuka kama alikuacha akiwa hana kitu chochote kinachomuunganisha kiroho, kinafsi na kimwili na huyo mwanaume aliezaanae, basi kuna probability ya 0.9 kuachwa tena hapo mbeleni maana now ana kitu kinachomuunganisha kiroho,na kimwili na baba watoto wake.
MAKE WISE DECISION, YOU ARE A MAN, AND ALWAYS THE LEADER NO MATTER THE SITUATION
NAWASILISHA...................
 
Kumbuka watoto hawana kosa, hawakupanga kuzaliwa. Wamejikuta wameletwa ulimwenguni, hivyo kimsingi hawana hatia.
 
wewe kama mwanaume
1.fanya maamuzi kulingana na matakwa uliyojiwekea na usiendeshe kabisa na hisia kufanya maamuzi.
2. usihalalishe kosa hata siku moja eti kwakua once ulishawahi kukosea.
mwisho wa yote kumbuka kama alikuacha akiwa hana kitu chochote kinachomuunganisha kiroho, kinafsi na kimwili na huyo mwanaume aliezaanae, basi kuna probability ya 0.9 kuachwa tena hapo mbeleni maana now ana kitu kinachomuunganisha kiroho,na kimwili na baba watoto wake.
MAKE WISE DECISION, YOU ARE A MAN, AND ALWAYS THE LEADER NO MATTER THE SITUATION
NAWASILISHA...................
Hii yako nayo nadharia tu kama nadharia zingine. Wanaweza kurudiana ndoa yao ikawa murua kama Firdausi.
 
Mwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa kwenye mahusiano hot ya kimapenzi yenye ndoto za kuja kuishi pamoja na huyu mwanadada

Mimi nikiwa mwajiriwa wa serikali yeye akiwa kwenye taasisi za ukopeshaji ,baadae akahamishwa na taasisi yake kwenda mkoa jirani,hata hivyo mapenzi yetu yalikuwa ya moto

Miezi michache baadae akaanza kuonyesha dalili za kutaka kiniacha,mara hajibu sms kwa wakati,hapokei sim,baadae nikachoka moyo binafsi ila nikafanya uchunguzi nikagundua ana mahusiano mengine na mtu mwingne nikaamua kuachana naye rasimi

Miezi 3 iliyopita nikiwa bize na harakati zangu,kuchek whasap nikakuta sms yake ikinijulia hali nami nikajibu fresh,baada ya siku tatu akanipigia sim akiniomba msamaha na maelezo kibao,sikumwelewa akamtumia rafiki yangu wa karibu akalialia akanishawishi basi nikamwambia nipe muda,kadri siku zinavyoenda mawasiliano yakawa ya karibu zaidi

Basi kwa kuwa moyo wangu ulikuwa unampenda huyo mwanamke ikabidi nianze kurudisha mahusiano

Lakini baada ya mwezi mmoja kupita nikaingia whasap kuperuzi nikakuta status yake ina watoto mapacha,nikamuuliza vipi wanao au akanijibu ndio nilijifungua mwezi uliopita

Alivyoniambia hivyo moyo wangu uliuma hatari sikumtafuta tena wala sikupokea simu yake wala sikujibu sms zake

Sms aliyonitumia ya mwisho ikasema hivi" Nilijua hunipendi tangu awali,huna mapenzi ya dhati,ungekuwa unanipenda upendo wako ungedhihirika kwenye kipindi hiki kigumu cha maisha yangu ,kumbuka hawa ni malaika tu hawana kosa ,ndio nimefanya makosa makosa kwani wewe huwezi ukafanya makosa ya kuzaa nje? "

Ila kimoyo moyo nami pia nimezaa nje mtoto mmoja

Wadau naomba ushauri
Azalishwe nje, akuombe msamaha bila kukuambia hilo anapata guts za ku post status, wewe unaambiwa ki ajali, ajali tu... Halafu unaamini kabisa una nafasi kwenye moyo wa huyo mwanamke....
Ur just a rebound....
 
Tatizo lako wanaume tukiitisha vikao hutaki kuhudhuria, ona sasa umekosa maamuzi ya kiume unataka kuoa single mama tena aliekusaliti awali..nyoko we
 
Hv n kwa nn wadada wakiacha mtu hupenda kurudi. Huwa wana pima upepo au !!!!!!!!

Anyway
Na mm niliachwa mwezi sept baada ya mda alirudi, ila ukweli n kwamba mwanamke akikuacha ujue hakupendi kaa nae mbali na mm nilimzia gear hewani

Kheri yetu wanaume tutasema mm naona sijatulia bado nna mambo mengi ila sio mademu
Hahaha mwanamke ni opportunistic by nature. Akikuacha ghafla jua kuna alilofata huko alikoenda, akifanikiwa hatakaa arudi inakuwa ndo ntolee hio. Ila akilikosa jua imekuwa majanga hivyo atarudi kwa speed, misamaha mingi, ishu ni kuwa kurudi kwake sio kwa mapenzi bali atarudi sababu amepata majanga anataka faraja toka kwako.

Ukiwa mwenye huruma kama akina sisi waweza msamehe esp. kama ulikuwa unampenda zaidi. Ila jua ndio umempa tiketi ya kwenda na kurudi na ndio itakuwa kazi.

Proper way ni ku shut her up completely. Akirudi akute kufuli tu! No access.
 
Achana nae huyo mwenye midomo miwili,wako wenzie pia wana hiyo midomo asifikili anayo yeye tu,,shwain zake
 
Back
Top Bottom