Recent content by elimukwanza

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

    Antony Joshua
  2. E

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mishahara TCCIA na TAA

    Wadau napenda kuelewa tofauti ya mamlaka hizi na viwango vyao vya mmishahara kwa ngazi ya uhasibu.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Pasco,Njoo uthibitishe haya lasivyo mmoja wenu ale ban
  4. E

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Ritz sasa umeishiwa kwahiyo unataka chadema wafanyeje au mohamed mtoi afanyeje
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye anadhalilisha vijana wenzake na Wazee, Madaraka aliyopewa ni makubwa kwake

    Duh jamani malaria sugu,kimbunga, njooni muokoe jahazi huku jamani yani kiongozi wa ccm ameshindwa kujibu hoja za mwanachama wake Mchambuzi anakimbilia kujibu mipasho ...my dear CCM nani amekuroga? sitaki kuamini kuwa hakuna viongozi makini CCM je wamesusa nakuachia wahuni chama? nani...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Mabomu mabomu yanapigwa muda huu huku Ifakara Mgombea wa CCM kakimbia kakataa kusign vijana wa CDM nao mamekomaa wanalinda kura hawataki kutoka police wanapiga mabomu wawatoe matokeo hayajatangazwa
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bahati Bukuku afunika Singida, Rose Mhando awauza sifa Tanzania Singida

    Tamasha hilo linaitwa sifa tanzania
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bahati Bukuku afunika Singida, Rose Mhando awauza sifa Tanzania Singida

    Leo kulikuwa na tamasha la muziki wa injilili Singida, waimbaji kama Rose Mhando, Hahati Bukuku, Ambwene walialikwa lakini baada ya ufunguzi muandaaji wa tamasha hilo Prosper aliwatambulisha waimbaji waliofika waudhuriaji wakapaza sauti zao Rose yuko wapi? Ndipo mratibu alipoamua kufunguka kuwa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya BAVICHA kwa vyombo vya habari kuhusu kuwavua uanachama wanachama wake

    kweli ben alisema ccm ndiyo wataumizwa! naona mmeanza kulalamika halafu mi nafkiri mnaisaidia sana CDM kwa sababu wanajua adui yako muopmbee njaa.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Should CHADEMA Fire Zitto?

    Duh wewew pasco ni mnafiki kweli juzi umesema mwenyewe kuwa ben saanane ni mwamba na katika mwamba Chadema itajengwa leo tena unamkandia wewe kweli una kazi maalum humu jf huwa unapima upepo hata kama si mwanasiasa lakini ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu kimsingi mimi huwa nakupuuza.wewe...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari MB.

    Mkuu Mwanakijiji, si ulisema utamfunda! vipi tena
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    ooh poleni CDM jaribuni 2015
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    atakayepata hukumu tafadhali airushe kwenye soft copy
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mugabe mahututi Singapore?

    source pls mbona cnn bbc aljazeera bado hawajasema
Back
Top Bottom