Tatizo waafrika ni waoga Sana na haya mapokeo,kiukweli hakuna madhara! Ebu fikiria maswali haya:
Je, waliokufa kw ukimwi hawakutahiriwa?
Je, waliokufa kwa kansa hawakutahiriwa?
Je,waliotahiriwa wanaishi milele!
Kiukweli swali lako upo sahihi Ila usiwe na wasiwasi kwani huo mda wa mwaka mmoja...