Jitindejangongwa
Member
- Jan 17, 2013
- 28
- 3
hivi unamwamnbia mtu nimekumiss wakati ukiwa nae au ukiwa mbali nae? maana utaona mtu kamkumbatia mtu halafu anamwambia nimekumiss sana!
awali nilidhani inaweza kuwa nimekukumbuka, lakini nahitaji msaada zaidi ili nisidhani tena
"Nime-kukosa"......
Sidhani (na niko tayari kusahihishwa) kama TUKI ama BAKITA huwa zina utaratibu unaofanana na huo hata kwa mbali. .
"I married my husband in 1983.