Recent content by Elimeleck

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa siku hizi wanazaliwa hawana akili

    Ameeeen mtumishi
  2. E

    JamiiForums Tanzania Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

    Utamtambua akianza kupumua mbele yako, Au kidole gumba kinakuwa na rangi kuliko vidole vingine
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kibarua, kazi ya jikoni au hata kusaidia fundi ujenzi

    Njoo kwangu tuwasiliane
  4. E

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Ashukuriwe Mungu, Freeman Mbowe aachiwa usiku mnene
  5. E

    JamiiForums Tanzania Inabidi Watanzania tumuombe msamaha Rais Magufuli

    Hata mimi najiuliza, no answer
  6. E

    JamiiForums Tanzania Gazeti Jamhuri: Ridhiwani ndie mtoto wa kigogo kwenye list ya tatu; sasa nae kuchunguzwa

    Akamatwe tu, ni muda mrefu mno alihusishwa huyu jamaa tangu utawala wa baba yake, watukumbushe ile inshu ya China
  7. E

    JamiiForums Tanzania Gazeti Jamhuri: Ridhiwani ndie mtoto wa kigogo kwenye list ya tatu; sasa nae kuchunguzwa

    Kwa sababu limemtaja mtoto wa the big boss.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Gazeti Jamhuri: Ridhiwani ndie mtoto wa kigogo kwenye list ya tatu; sasa nae kuchunguzwa

    Naye Ridhiwani achunguzwe tena kwa kina, tuone
  9. E

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Nchi hii ni nzuri mno, lkn vilaza wanaoushikilia umimi na utoto wa fulani, ndio wanaoivuruga nchi. Kwa maana nyingine kananda Ziro amekosa ushahidi. Viva CHADEMA YETU 2020
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro, kuna ajenda gani dhidi ya Mbowe?

    Mimi nadhani ndo wanamuinua Mbowe kuwa shujaa zaidi. Mfano Godbless Lema anavyochafuliwa na serikali ya kijani njano Ndivyo wanavyomjengea jina kubwa kule Arusha.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Acha ubwege na roho za VIWONDER
Back
Top Bottom