Kamanda Sirro, kuna ajenda gani dhidi ya Mbowe?

Wakati mwingine mtumie akili zenu vizuri CHADEMA si chama cha Mbowe ila Mbowe ni mwanachama wa CHADEMA vhama kidihusishwe na kosa binafsi la mtu, aliambiwa aende ajisalimishe Polisi akagoma then mnatetea, hivi watanzania mnstaka nini?
 
Wakati mwingine mtumie akili zenu vizuri CHADEMA si chama cha Mbowe ila Mbowe ni mwanachama wa CHADEMA vhama kidihusishwe na kosa binafsi la mtu, aliambiwa aende ajisalimishe Polisi akagoma then mnatetea, hivi watanzania mnstaka nini?

Mlimpelekea summons?? Au utaratibu wa kuitwa polisi umebadilika siku hizi??Taratibu za kuitwa polisi zinasema umwite Mtuhumiwa kwa kutumia Media??
 
Hadi unajiuliza lazma ifike hatua watu waheshimiane na waheshim taratbu na sheria yaani utasema hawajui kuandika samansi..shida nn au mnahisi mtakua mmemtukuza kiongoz wa upinzani
 
Mimi nadhani ndo wanamuinua Mbowe kuwa shujaa zaidi.

Mfano Godbless Lema anavyochafuliwa na serikali ya kijani njano

Ndivyo wanavyomjengea jina kubwa kule Arusha.
 
Ivi me najiuliza, commissioner w kupambana n dawa z kuleva kaisha anza kazi au?, maana niliona siku ile kapewa majina90naaa, 2 najiuliza kama kaanza kazi inamana swala la mbowe yeye c ndie anaelishughulikia au ni siro?, kingine nachofikili au siro&makonda anataka atimize agizo alilopewa la kuakikisha baadhi y watu wanachafuriwa na kama anataka kutimiza agizo je? Agizo hilo anapewa na nan? Msaada plsssss
 
Hujui kitu mkuu wewe ni shabiki tuu!! Na mbeambea , hebu fuatilia taarifa vyema kwa pamde zote then tumia akili yako ndogo hiyohiyo ku balance mzani kwanza na pia tafuta ujue tafsiri halisi ya kujificha halafu uje utuamni kama mbnowe alitimiza vigezo vya kujificha huko ,inaonekana shule nalo ni tatizo kwako sio!!
usipanic mkuu andika vizuri ueleweke
 
Utaftaji wa kick
Kama huu
506684bfcbef6be5df8cbb11c8f5c199.jpg

506684bfcbef6be5df8cbb11c8f5c199.jpg
 
Maana kama unamwita mtu kupitia tv&radio alafu baadae ukamkamata akakwambia hajatizama tv wala kuskia radio utamshitaki kwa kosa gani au atakua amekosea kifungu gani cha sheria, kwani siku izi TZ ni lazima na amri kila mwananchi asikie radio na kutazama tv
 
Siro anatenda kazi yake bila weledi. Sikuwahi kumdhania kua naye ni bendera fuata upepo.
 
Baada ya kustaafu u IGP Omary Mahita alikutwa na hatia ya kumtia mimba House girl wake ( haikufahamika kama alimbaka au alimshawishi ) , hii ni pamoja na kuruka matunzo ya mtoto, aliburuzwa mahakama ya kisutu na hivyo kudhalilika dunia nzima .

Polisi mnapofanya kazi hizi fanyeni kwa weredi na fuateni sheria , vinginevyo kinga yenu ni ndani ya magwanda tu .
 
Kama alivyosema tanzanite miner hapo juu inaonekana hii mijitu ya kanda ya sangara ni mizezeta. Yani unashindwa kuwatengenezea wananchi wako mazingira ya kujiajiri unakaa kufikiria kulipa visasi? Huu ni ujuha haujapata kutokea.
 
Back
Top Bottom