Recent content by elifaraja nani sengi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Usibishe,inaburudisha sana.

    inasikitisha sana pale unajinyea wakati umekaribia kufika chooni
  2. E

    JamiiForums Tanzania Matani

    wewe ni mrefu adi ukifua chupi huianiki inakauka ukiwa unaivaa
  3. E

    JamiiForums Tanzania Endeleza yako hapo

    acha kimbelembele leave front front
  4. E

    JamiiForums Tanzania Dingi kauzu!

    mhh mhh!!huyo ding nooma
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

    mwl vyauzembe,huyu alikuwa kila ukifanya kosa anakuambia nakuchapa viboko vyauzembe
  6. E

    JamiiForums Tanzania Chapombee

    chapombe mmoja alianguka karibu na TBL na kuzimia papo hapo,mara watu wakajaa na kuanza kujadili namna ya kumsaidia,jamaa mmoja akaagiza maji yaletwe amwagiwe ili fahamu zmrudie!gafla chapombe akanyanyua shingo akasema ''acheni use#*n kama ningekuwa nataka maji si ningeenda kuzimia dawasa''
  7. E

    JamiiForums Tanzania Babu na Mjukuu!

    ngekuwa mie ndio babu nafukuza toto
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ushaona Mti wa Kike au Kiume weye?

    duh!sijawahi kuona!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ipe maneno hii picha

    kuna jamaa anapiga kaz kwa moyo wote na kujima tena katikati ya msitu ila kuna bwana mwingne anazuga tuu yaani hata kukanyaga ardhi ya nchi yake anaona noma.kakoleo chenye hakana hata mchanga wakutosha
  10. E

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake wenye ndevu

    ni watu wakugawa mchezo sana kwa m2 yeyote afu wana vibesi,mara nying wanakuwa wanatokea kwenye familia ya good life
  11. E

    JamiiForums Tanzania Its me again wana Jf

    hodi huku,mpo?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri p'se: Hataki Kamchezo Ketu..!!

    mpeleke kwa washauri,labda ana tatizo kubwa sana kuliko hata unavofikiria wewe
Back
Top Bottom