Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

MR. CNN
(coet-Udsm-ME 215) alikua anashusha slide mia mbili kipindi kimoja.
 
Dah,kulikuwa kuna ticha wetu anaitwa pilato,yani ukichelewa namba tu unaipata getini
Ticha mwingine aliitwa Ngugi wa Thiong'o na stori zake za vitabu vya english
Afu wa mwisho aliitwa mofimu,kama kawa kiswahili kwa sana

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
achori..mwalimu wa ngeli

Gaucho....kemia..wanaundugu na dinyo
 
wa primary mmoja tulikua tukimwita...'Bana mdogo senzi...',mwingine zya nsupu,alikuwa anachapa nyuma ya miguu kwa chini,mwingine 'kibendera',mwanamke anatembea haraka huyo utafikiri basi la T.T.CO!
 
Kuna Mbungi, kwa wale wa Ifunda Tech. School enzi hizo.......... Brigedia (Mwakalindile), Tumwidike (Mrs Mwakalindile - jina lake halisi), Pipo (Kaguo), ...........
 
Huyo BICHWA LA SIAFU alikuwa mwalimu wa geo kwa A level, na alipewa jina hilo kwa kuwa alikuwa akiongea huku anatikisa kichwa.
The unseen is illustrated by the seen.

labda huyo ni wa miaka ya karibuni! nakumbuka enzi hizo geo a level walifundishwa na mwamrema
 
MBAGA NYOMI...mwalimu wa kiume alikuwa na makalio makubwa '(vudoi sec)
TUDOGO.....ticha wa history alipenda kuanza na neno TU...mfano..tule tutoto ni tudogo
BABA UBAYA,,,,,,,alikuwa na kichwa na vindevu kama vya baba ubaya...
 
Mwl Dy/Dx, alikuwa akifundisha number; Mwl So much - alipenda kutamka neno hili sana.
 
yani uzi unaisha bila PUGU BOYZ!! kutupia? kubwa jinga mwl fisoo,mabags mwl mabagala,gaidi headmaster magambo,kigonsera headmaster ali hamia,nampepe mwl nampanda,you people mwl karata.....list goes on
 
kocha- alikuwa anavaa raba za six meno
zebe- alikuwa anatembea kizembe
Mahair- alikuwa na nywele ndefu
kamera - alikuwa na mwanya mkuubwa
 
Back
Top Bottom