Ushauri p'se: Hataki Kamchezo Ketu..!!

Jaribu tena akizingua piga chini, mambo ya kkuuziwa mbuzi kwa gunia sio mpangi.
 
Ni zaidi ya miezi minne tupo kwenye mahusiano. Kuhusu kunipenda sina mashaka nae kwa hilo.

Cha ajabu kila nikimchombeza huishia kununa, nimeshatoka jasho zaidi ya mara tano kumlazimisha ku-do kwenye 6*6.

Nimeshamtangazia mpaka ndoa mola akijalia lakini wapi, hataki kutoa.

Nimekuwa nikimuweka sawa kisaikolojia lakini akishaona nachojoa nguo anakuwa kama mbogo.

Ananiambia hilo ni tatizo lake la asili tangu zamani na wanaume wamekuwa hawamuelewi na kuishia kumuacha.

Mimi nimechoka, kabla sijamuacha hebu wana jamvi nipeni ushauri wenu.

Mimi sioni tatizo hapo, kaka kuku wako manati ya nini? Au unahisi atatoweka mapema. Kama amevumilia mpaka hapo

kwanini wewe usiwe mvumilivu mpaka ndoa wakati tayari umeshatangaza ndoa?
 
Ndugu tutaendeleaje katika hali hii huku mimi nikiwa sijui UPANDE WA PILI WA SHILINGI WA MWENZANGU..?

Hoja hiyo haina mashiko.
Kama una mpango wa kuoa huyo binti we muoe tu, mengine utayajua ndani ya nyumba. Ukiona mtu anakomalia sana kula tunda kabla hajaoa ujue huyo anakula na kusepa, si muoaji. Ndo wewe huyo! Acha hizo
 
kaka xubiri uoe kama umempenda nje na ndani utapapenda tu usikute unataka mlabua dada wa watu umtafutie visababu
huyo dakika ya mwisho ndo utaipenda ukikutacho saizi yako ukikuta muogo chukua, ukikuta bwawa la samaki chukua
 
Huyo hata mimi hanifai wakati tukiwa faragha halafu unaanza kutoa nje umekubali tuingie huku ili iwe nini,no way wa hivyo huwa siwafagilii,once i had that type of a relationship but man it didn't last,it was always a fight before the act,baadhi wanafikiri inawafanya waonekane kuwa ni wagumu kupatikana which is not true.
 
Ni zaidi ya miezi minne tupo kwenye mahusiano. Kuhusu kunipenda sina mashaka nae kwa hilo.

Cha ajabu kila nikimchombeza huishia kununa, nimeshatoka jasho zaidi ya mara tano kumlazimisha ku-do kwenye 6*6.

Nimeshamtangazia mpaka ndoa mola akijalia lakini wapi, hataki kutoa.

Nimekuwa nikimuweka sawa kisaikolojia lakini akishaona nachojoa nguo anakuwa kama mbogo.

Ananiambia hilo ni tatizo lake la asili tangu zamani na wanaume wamekuwa hawamuelewi na kuishia kumuacha.

Mimi nimechoka, kabla sijamuacha hebu wana jamvi nipeni ushauri wenu.

we miezi minne una0na muda mrefu sana wa mahusiana hadi mtu akupe uchi? Wengne wanakaa hata miaka miwili bila uchakachuzi saana mnaishia kissing so hapo hakuna geni kaka pia yawezekana sh z virgn so ana0g0pa nyie mijanaume mingine mkishatoa bikra mnakimbia..
 
Back
Top Bottom