Recent content by elicious

  1. elicious

    JamiiForums Tanzania JKT watangaza nafasi za kujitolea

    Iringa, mwisho ilikuwa jana na usahili ni kesho tarehe 10 ijumaa
  2. elicious

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu utendaji wa kijiji Iringa viijijini

    Wameshaita watu kwenye interview, na interview inafanyika tarehe 30 na tarehe 31
  3. elicious

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya interview

    Aaaah aaaah aaaah mambo ya TRA hayo,
  4. elicious

    JamiiForums Tanzania Usaili TRA

    Kiukwel wametuboa, watu tumetoka mikoan then watubwenyewe hawaelewek hata kidogo watu tumekaa had tumechoka na had muda huu hakuna matarajio ya kuingia kwenye hiyo interview kiukwel wameboa, coz muda waliotuambia tuje ni tofaut sana na tutakao ingia kufanya hiyo interview TRA MMEBOA VBY MNOOO
  5. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Asante, nilikuwa na wac wac naona kila mtu anasema saa moja
  6. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Jaman kuna mtu mwingine kaambiwa aende saa 7 mchana?
  7. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Samahan NGOGO naomba kama una lile tangazo au ile form yao ya kujaza unisaidie kuna vitu nataka niangalie, samahan kwa usumbufu
  8. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Jaman wapendwa, kuna mtu mwingine aliye ambiwa aende saa saba na nusu? Coz watu wengi naona ni saa moja na nusu. Msaada wenu jaman
  9. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Asante
  10. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Jaman kwa mwenye lile tangazo au form tuliyo jaza naomba anisaidie
  11. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Asante
  12. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Asante
  13. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Preventive assistant
  14. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Me ni hiyo ya preventive assistant, level yangu ni diploma, ila nilikuwa naomba kujua majukum ya preventive assistant , au majukumu yake ni hayo uliyo yasema hapo juu? Nisaidie mkuu
  15. elicious

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Asante mkuu
Back
Top Bottom