Recent content by Elibariki Mshombe

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Hapana mkuu, wengi tunajifunza kupitia huu uzi.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mkuu tunaomba utuwekee mtiririko wa chanjo na tiba za magonjwa ili wote tujifunze.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Bukoba vs Moshi

    Hiyo ni moshi mkuu, inaonekana huijui vizuri moshi.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni tabia za wanaume wa Kipare kwenye mahusiano!!

    [emoji115] [emoji115] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  5. E

    JamiiForums Tanzania Polisi agoma kumtaja 'Dikteta uchwara' kizimbani

    Nilikuwa sijui kama wanamzungumzia pogba. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

    Itakua amezisoma za kifaransa.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Machinga, Mama Ntilie, Gereji na biashara kandokando ya Barabara wanaisoma Number

    Mpaka 2020 ifike zitasomwa namba kwa kigiriki.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa T B Joshua uko sahihi, Clinton kashinda ila hajachaguliwa

    Ahsante kwa kutuwekea na ushahidi maana kuna watu wamedanganywa na huyu mtu hata uwaambie nn hawaelewi kua Huyu ni nabii uchwara.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Daaahh.. Huyu jamaa yuko vizuri sana.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la watafiti kuchomwa moto, Lingeweza kuzuiliwa

    Hata mimi nashindwa kuelewa kama kuna watu bado wa naamini habari za wanyonya damu karne ya 21, alafu inakuaje mtanzania mwenzako anaongea kiswahili kama wewe unashindwa kumuelewa mpaka unachukua hatua za kumpigia na kumchoma moto? Yaani waliohusika wote waaibebe tu hiyo kesi ya mauaji maana...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanakijiji Mvumi - Chamwino wachoma moto gari na kuuwa maafisa wa Taasisi ya Kilimo

    So sad, miongoni mwa waliofariki alikuwa classmate wangu. Nina maswali mengi ambayo hayana majibu.
  12. E

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Ang'atwa na kunyofolewa kipande cha ulimi na mwanamke waliyekuwa wakinyonyana ndimi

    Hahahahaha.. Huyo mwanaume alikuwa ananyonyana na zombie.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mimi na mke wangu tumezika tofauti zetu, lakini mdogo wake hataki kuondoka kwangu

    Kwa muonekano wa hilo kanisa wanafunuliwa kufanya uzinzi.
Back
Top Bottom