Linapiga kelele sana, yaani kuanzia gia ya kwanza,
siku ukiendesha hutakaa utake lingine. Ila utafurahi zaidi ukiliendesha kijijini kule hakuna msongamano mkubwa wa watu na nyumba zipo mbalimbali.
Hivi gari la hivyo nifanyeje nalo ili niendelee kulitumia lakini nisisumbue au kukera watu?
Ni zaidi ya miaka miwili nilikuwa sijaingia humu... sasa nimerudi naona wajukuu wengi sana na ukubwa umesogea flan amazing.... HODI am back.
Missed you sana hasa jukwaa hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.