Mimi nadhani tumwamini meja jenerali Kingu ..... kumradhi, tumwamini mheshimiwa rais kuwa walisaini MoU isiyo na maslahi kwa nchi tena bila kuomba ushauri ofisi ya AG na wizara ya fedha.
sheria ni sheria lazima sote tuzitii (isipokua kwa bashite na nduguze)
😛😛😛
Mkuu keshasema kuwa gesi tumepigwa, hata yeye mwenyewe amejaribu kutunishiana misuli na mabeberu lakini ameona ngoma ni nzito.
Sisi wakaazi wa chato pekee ndio tutapata uchumi wa kati, ninyi wengine mlioko nanjilinji, igulumbilo, bunazi n.k mtapata uchumi wa pembeni.
Kuhusu viwanda...
Mikataba yote ya kibiashara ambayo USA inaingia inasainiwa na rais lakini lazima ipate idhini ya bunge ndipo inakua rasmi. Pia yote huchapishwa kwenye website ya serikali ili kila mwananchi asome na kuelewa nchi yake imeingia makubaliano ya aina gani, kwa mfano mkataba wa biashara kati ya US...
Shida yote ya nini, si mkataba uwekwe wazi kwenye gazeti la serikali kila mtu ausome aelimike. Mnaficha nini? Yaani hadi tuende kuchungilia ripoti za acacia huko ndio tuone baadhi ya vipengele vinavyo onesha jinsi ccm ilivyoinamishwa na beberu.
Magufuli ana matatizo makubwa mawili
1. Anadhani yeye ni mjuzi wa kilakitu
2. Anataka kuambiwa kile kinachoendana na mawazo yake tu, vinginevyo wewe mshauri utaitwa hauna 'uzalendo'
Juu ya hayo, kuna tatizo moja dogo,
Anawaamini sana TISS utadhani ni malaika, wakimpelekea viripoti vya siri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.