Polisi wamekanusha kuwepo kwa tuhuma za kuhujumu njia ya reli katika Mkoa wa Kilimanjaro

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
96,719
2,000
Jana kwenye taarifa ya habari polis wamekanusha kuwepo kwa tuhuma za kuhuhumu njia ya reli katika mkia wa Kilimanjaro.

Hili jambo linakuwa tofauti na kile alichodai DC Sabaya kuwa ana uhakika wafanya biashara wa mabasi wamehujumu miundo mbinu ya reli kwa makusudi.

Jamani tunaomba viongozi wetu wawe makini kabla ya kutoa matamshi na tuhuma zao kwa wanachi kwani inaleta sintofahamu kwenye jamii inayo tuzunguka.

====

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limesema hakuna hujuma wala uharibufu wa miundombinu ya Reli katika eneo la Kijiji cha Rundugai Wilayani Hai kama zilivyoelezwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Lengai Ole Sabaya .

January 19 mwaka huu Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya akiwa katika Kijiji cha Rundugai akikagua ukarabati wa Reli alitoa agizo la kukamatwa kwa wafanyabiashara wawili wa mabasi kwa tuhuma za kuunda genge la uharifu ili kuathiri usafiri wa treni ya abiria kati ya Dar,Moshi hadi Arusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
8,934
2,000
Jana kwenye taarifa ya habari polis wamekanusha kuwepo kwa tuhuma za kuhuhumu njia ya reli katika mkia wa Kilimanjaro.

Hili jambo linakuwa tofauti na kile alichodai DC Sabaya kuwa ana uhakika wafanya biashara wa mabasi wamehujumu miundo mbinu ya reli kwa makusudi.

Jamani tunaomba viongozi wetu wawe makini kabla ya kutoa matamshi na tuhuma zao kwa wanachi kwani inaleta sintofahamu kwenye jamii inayo tuzunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
HUYU NAE ANASUBIRIA CHUMA KIMNGOE TULIA TU

#NAJUAUMENISIFIASANAKWAHILIHAPANAA

KUNAMTU AKISIKIA HAYAMANENO MWILI UNAACHANA NA #ROHOKWAMUDAOOH
 
FisadiKuu

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
6,828
2,000
Cha kushangaza hapo utasikia RPC ndio katumbuliwa na sio mchochezi Sabaya..

Ila ipo siku watu wa Hai watachoka na ndipo aliyemtuma Sabaya kuyafanya hayo atashangaa akipewa taarifa za maandalizi ya mazishi..
 
kadendu

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
427
250
Jana kwenye taarifa ya habari polis wamekanusha kuwepo kwa tuhuma za kuhuhumu njia ya reli katika mkia wa Kilimanjaro.

Hili jambo linakuwa tofauti na kile alichodai DC Sabaya kuwa ana uhakika wafanya biashara wa mabasi wamehujumu miundo mbinu ya reli kwa makusudi,ni wazi hapa kuna swala la kuchamba kwingi....

Jamani tunaomba viongozi wetu wawe makini kabla ya kutoa matamshi na tuhuma zao kwa wanachi kwani inaleta sintofahamu kwenye jamii inayo tuzunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilipuuza huo ujinga siku nyingi wenye shughuri yao ya kupeleleza na kukusanya ushahidi ni jeshi la polisi uwenda ushahidi wa tukio hili ukikamilika usikute DC ni miongoni mwa watuhumiwa.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
96,719
2,000
Jana nimemuona kamanda wa polis mkoa wa Kilimanjaro akilisema hili kuwa kwenye uchunguzi wao wamegundua kuwa hizo tuhuma siyo za kweli na kuwa miundo mbinu ya reli ipo salama.
Mimi nilipuuza huo ujinga siku nyingi wenye shughuri yao ya kupeleleza na kukusanya ushahidi ni jeshi la polisi uwenda ushahidi wa tukio hili ukikamilika usikute DC ni miongoni mwa watuhumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gwela2003

JF-Expert Member
Mar 15, 2015
1,005
2,000
Awamu hii inajua kulindana kama ni serikali ya hapa kazi tu

Kwanini sabaya anachonganisha watu na serikali hasa wafanyabiashara kwa faida ya nani

Alitakiwa aww ameshapumzishwa kwa kitendo cha kuwasingizia kuwa wanahujumu miundombinu ya reli..hii ni kashfa kubwa

Rais JPM tunaomba uondoe hii Nyambilisi haraka saana kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
96,719
2,000
Sielewi ni tatizo gani huyu Sabaya anakuwa na utawala wa mag'amg'am kiasi hiki tena kwenye ngazi ya wilaya. Kama angepewa mkoa nadhani asingeweza kupata usingizi kabisa
Cha kushangaza hapo utasikia RPC ndio katumbuliwa na sio mchochezi Sabaya..

Ila ipo siku watu wa Hai watachoka na ndipo aliyemtuma Sabaya kuyafanya hayo atashangaa akipewa taarifa za maandalizi ya mazishi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
96,719
2,000
Kama mh Magufuri anapitia kwenye mitandao au ana watu wake tunamuomba afuatilie malalamiko ya wanachi juu ya huyu mtawala Sabaya
Awamu hii inajua kulindana kama ni serikali ya hapa kazi tu

Kwanini sabaya anachonganisha watu na serikali hasa wafanyabiashara kwa faida ya nani

Alitakiwa aww ameshapumzishwa kwa kitendo cha kuwasingizia kuwa wanahujumu miundombinu ya reli..hii ni kashfa kubwa

Rais JPM tunaomba uondoe hii Nyambilisi haraka saana kazini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,667
2,000
Jana kwenye taarifa ya habari polis wamekanusha kuwepo kwa tuhuma za kuhuhumu njia ya reli katika mkia wa Kilimanjaro.

Hili jambo linakuwa tofauti na kile alichodai DC Sabaya kuwa ana uhakika wafanya biashara wa mabasi wamehujumu miundo mbinu ya reli kwa makusudi.

Jamani tunaomba viongozi wetu wawe makini kabla ya kutoa matamshi na tuhuma zao kwa wanachi kwani inaleta sintofahamu kwenye jamii inayo tuzunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nia yake ilikuwa ni kuharibu miundombinu alafu asingizie wafanyabisahara. Kwahiyo alikuwa anaandaa mazingira ya kuhujum. Vyombo vya usalama mkamateni na ahojiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Calfornia

Member
Oct 26, 2019
31
125
Jana kwenye taarifa ya habari polis wamekanusha kuwepo kwa tuhuma za kuhuhumu njia ya reli katika mkia wa Kilimanjaro.

Hili jambo linakuwa tofauti na kile alichodai DC Sabaya kuwa ana uhakika wafanya biashara wa mabasi wamehujumu miundo mbinu ya reli kwa makusudi.

Jamani tunaomba viongozi wetu wawe makini kabla ya kutoa matamshi na tuhuma zao kwa wanachi kwani inaleta sintofahamu kwenye jamii inayo tuzunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaamini vipi kuwa Taarifa ya Polisi ndio sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: UCD

ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
9,870
2,000
Kama mh Magufuri anapitia kwenye mitandao au ana watu wake tunamuomba afuatilie malalamiko ya wanachi juu ya huyu mtawala Sabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Aina hii ya watu wenye uzushi, uchochezi, na hasa wenye ubingwa wa maigizo ndio wapendwa wa Jiwe. Angalia walivyosheheni kwenye team yake. (Shonza,Muro, Waitara, ......) Nae bila hata chembe ya aibu hujivunia na kuwalinda. Sabaya atapewa kacheo kakubwa ila huyo polisi ndio ajitafakari
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
1,614
2,000
Sabaya kimaisha ni kijana mdogo Sana hata kiumri ni mdogo sana na hata kuoa hajaoa na Hana familia means Hana mshauri wa ndani wa kumshauri.anaamkia bar anakwenda ofisini akiwa na kilevi Cha Jana kichwani.siku anatangaza Mambo ya reli alikuwa mahali anakunywa konyangi akakurupuka kwenda site akiwa mlevi.ikifika jioni gari lake la kiofisi linampeleka pale njia panda ya Kia wanakuja wahuni wengine na gari binafsi kumpokea na kumpeleka Arusha kesho yake wahuni hao hao wanamrudisha njia panda ya Kia Kama Jana yake, Sasa chama na serikali na wananchi tutambue sabaya ni mtu wa namna gani .vinginevyo tutaumiza vichwa vyetu bure.ila DC wa Hai anatakiwa awekwe kwenye kipindi Cha uangalizi kabla ya uchaguzi mkuu October 2020, vinginevyo hatakivusha chama Cha mapinduzi salama.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
96,719
2,000
Aisee huko tuendako naona kama ni giza tu maana wafanya biashara ndiyo chachu ya uchumi, sasa kama kwa makusudi huyu Sabaya anaamua kuwachafua na kuwavunja moyo sidhani kama anamsaidia mh Rais
Aina hii ya watu wenye uzushi, uchochezi, na hasa wenye ubingwa wa maigizo ndio wapendwa wa Jiwe. Angalia walivyosheheni kwenye team yake. (Shonza,Muro, Waitara, ......) Nae bila hata chembe ya aibu hujivunia na kuwalinda. Sabaya atapewa kacheo kakubwa ila huyo polisi ndio ajitafakari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
96,719
2,000
Mkuu Tunashukuru sana kwa hayo maelezo angalau sasa tumeanza kupata mwanga juu ya huyo ndugu yetu
Sabaya kimaisha ni kijana mdogo Sana hata kiumri ni mdogo sana na hata kuoa hajaoa na Hana familia means Hana mshauri wa ndani wa kumshauri.anaamkia bar anakwenda ofisini akiwa na kilevi Cha Jana kichwani.siku anatangaza Mambo ya reli alikuwa mahali anakunywa konyangi akakurupuka kwenda site akiwa mlevi.ikifika jioni gari lake la kiofisi linampeleka pale njia panda ya Kia wanakuja wahuni wengine na gari binafsi kumpokea na kumpeleka Arusha kesho yake wahuni hao hao wanamrudisha njia panda ya Kia Kama Jana yake, Sasa chama na serikali na wananchi tutambue sabaya ni mtu wa namna gani .vinginevyo tutaumiza vichwa vyetu bure.ila DC wa Hai anatakiwa awekwe kwenye kipindi Cha uangalizi kabla ya uchaguzi mkuu October 2020, vinginevyo hatakivusha chama Cha mapinduzi salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom