Lissu anampasua kichwa Mbowe kuhusu kwenda ACT Wazalendo

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,248
2,000
Ndugu zangu,

Pamoja na Mbowe kumpa Lissu U-Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ili kumzuia asiende ACT Wazalendo lakini sasa mambo ni mazito kwani Lissu sasa anaonekana kutaka kufanya siasa na Zitto.

Mara kadhaa Tundu amesisitia kuachia madaraka kitu ambacho kinampasua kichwa Mbowe, Chadema wameteua Prof.Baregu ili ajaribu kumsihi Lissu asichukue maamuzi hayo sasa ili kukinusuru chama.

Tuwe na subira ila moto unawaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
3,493
2,000
Wakudadavua hivi ukiwa kama waziri kwenye serekali iliyo madarakani, shida yako kubwa huwa ni Chadema, Mbowe, Vyama vya upinzani Tanzania au kutetea nafasi yako uliyopo sasa?

Naona sasa unaonesha dhahiri tatizo lako kubwa ni Chadema na Mbowe, inageuka kuwa kitu personal sasa na si siasa za upinzani. Hawa watu walikufanyaga nini hasa unashindwa ku move on? Tusigeuze siasa ni uadui. Maisha asilimia kubwa ni nje ya siasa za kushambuliana, Tujenge nchi yetu kwa amani Wakudadavua, unakengeuka sana na uadui wa kisiasa, hawa wapinzani ni waTanzania wenzako.

Usiseme nijikite kwenye mada! Hakuna mada hapo ya kujadili zaidi ya uadui ambao haukusaidii wewe, watoto wako wala taifa.

Na ukisema nijikite kwenye mada, basi jua nimekuzawadia moja la nguoni kimya kimya.
 
IPECACUANHA

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
3,144
2,000
Ndugu zangu,

Pamoja na Mbowe kumpa Lissu U-Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ili kumzuia asiende ACT Wazalendo lakini sasa mambo ni mazito kwani Lissu sasa anaonekana kutaka kufanya siasa na Zitto.

Mara kadhaa Tundu amesisitia kuachia madaraka kitu ambacho kinampasua kichwa Mbowe, Chadema wameteua Prof.Baregu ili ajaribu kumsihi Lissu asichukue maamuzi hayo sasa ili kukinusuru chama.

Tuwe na subira ila moto unawaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa ulichoandika hakiwiani na hali halisi tunahitaji upinzani imara
 
NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Oct 7, 2014
739
500
Ndugu zangu,

Pamoja na Mbowe kumpa Lissu U-Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ili kumzuia asiende ACT Wazalendo lakini sasa mambo ni mazito kwani Lissu sasa anaonekana kutaka kufanya siasa na Zitto.

Mara kadhaa Tundu amesisitia kuachia madaraka kitu ambacho kinampasua kichwa Mbowe, Chadema wameteua Prof.Baregu ili ajaribu kumsihi Lissu asichukue maamuzi hayo sasa ili kukinusuru chama.

Tuwe na subira ila moto unawaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia TL anaondoka anaenda eti kwa Kabwe, 😅😅😅😅😅😅😅 ama kweli dunia inamambo
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,420
2,000
Ila Mbowe ni kiboko! Sijui alimfanya nini huyu mwakilishi wa Songwe! Lazima sio cha kawaida maana Siku mbili zipite hajamtungia Uzi labda awe labor ana shusha, lakini hata akiwa ndani ya mjengo lazima aruke naye kwa jambo la kutunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom