Pendekezo: Wakati wa sherehe za utiaji saini mikataba mikubwa kama wa Barrick KUB aalikwe ili baadae akawaelimishe Wapinzani

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,050
2,000
Hili ni pendekezo tu.

Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake.

Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara.

KUB Mbowe ni kiongozi anayeelewa tofauti na yule Zitto wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama!
Wee mama hiyo mimba uliyopewa na KUB mpaka utakapojifungua ipo kazi.
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,593
2,000
Tuonyeshe mkataba ambao umewahi kuwekwa Gazetini ama kweli nchi hii vilaza wako eh Mungu w

Sent from my iPhone using JamiiForums
Soma sheria mpya za madini zilizopelekwa bungeni na serikali hii, utajua kuwa wewe ndio kilaza.
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,593
2,000
Uliwahi kuona mkataba gani unawekwa gazetini hapa duniani bwashee?
Mikataba yote ya kibiashara ambayo USA inaingia inasainiwa na rais lakini lazima ipate idhini ya bunge ndipo inakua rasmi. Pia yote huchapishwa kwenye website ya serikali ili kila mwananchi asome na kuelewa nchi yake imeingia makubaliano ya aina gani, kwa mfano mkataba wa biashara kati ya US, Mexico na Canada (USMCA) huu apa kwenye link ya tovuti ya serikali ya marekani

Swali lingine??
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,376
2,000
Sielewi mzee Mgaya labda Kabudi anieleweshe.
Prof Kabudi atamuelewesha KUB then Mbowe ataitisha mkutano pale Mlimani City ili kuwapeni semina elekezi.

Kuna fursa nyingi za kiuchumi tutakazonufaika nazo kama taifa pale Twiga!
 
Aisee nadhani huwa anapewa mwaliko labda huwa anabanwa na Majukumu......!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,347
2,000
Prof Kabudi atamuelewesha KUB then Mbowe ataitisha mkutano pale Mlimani City ili kuwapeni semina elekezi.

Kuna fursa nyingi za kiuchumi tutakazonufaika nazo kama taifa pale Twiga!

Acha nikachekee mbali, ueleweshwe na Kabudi!? Huyo Kabudi ameanza kutuelewesha huo mgao wa 50/50 out of 16% shares mpaka sasa bado hatuelewi nini anaongea, ndio itakuwa akampotezee muda hiyo KUB. Huo ufafanuzi wa Kabudi awape nyie mliofunikwa kwenye blanketi la uzalendo uchwara, lakini sio watu wanaoutumia akili zao.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,347
2,000
T
Dogo unafurahisha sana. Ebu nitumie mkataba wa Chadema wa kununua magari yale Double Cabin ya M4C chapchap nami nione kilicchomo!

Mimi sio kiongozi wala mwanachama wa cdm bali shabiki wa kutupwa wa cdm, hivyo sina access yoyote na nyaraka za cdm. Hata hivyo sijawahi kuwaona hao cdm wakiitisha mubashara utiaji saini wa mikataba ya manunuzi ya hayo magari, na isitoshe hapa tunahoji mikataba ya raslimali za nchi, na sio mikataba ya vyama vya siasa. Huenda umekata pumzi ndio maana unahamasisha mada ukitarajia kutoboa kwenye hiki kitanzi.
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
6,305

Basi wewe ni mpumbavu! Unajengea hoja vitu usivyojua wala kuamini. Unadai serikali haioneshi mikataba hadharani wakati huna ushahidi wowote wa kuona mkataba wowote! Nilifikiri ungeniambia sio Chadema tu, hata Serikali ya Kenya mikataba yote ipo mtandaoni kaisome. Matokeo yake unaleta blah blah tu! Pumbavu!
 
Weka link dogo, povu halikubebi hapa.
 
East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
698
1,000
Mkataba ni Siri sio public socument.
Hata nchi zilozoendelea iko hivyo.
Hata mkataba wako na mwajiri wako utabaki kuwa Siri Tu. Acheni kulazimisha mikataba huwaga ni Siri Kati ya pande mbili. Wananchi mmechagua viongozi wachache ili wawawakilishe public katika mikataba mbali mbali.

2020
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,347
2,000
Basi wewe ni mpumbavu! Unajengea hoja vitu usivyojua wala kuamini. Unadai serikali haioneshi mikataba hadharani wakati huna ushahidi wowote wa kuona mkataba wowote! Nilifikiri ungeniambia sio Chadema tu, hata Serikali ya Kenya mikataba yote ipo mtandaoni kaisome. Matokeo yake unaleta blah blah tu! Pumbavu!

Hasira ikiisha uweke Link.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom