Recent content by Elgibbor

  1. E

    Mwanasheria anahitajika

    Nicheki 0655148897
  2. E

    The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    Wakili wa Uganda anaweza kusimamia mkataba wa kuuza gari Tanzania?
  3. E

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Naomba sample ya maombi ya wakili wa Uganda kusimamia kesi Tz
  4. E

    Kufanya mapenzi au kutembea (having an affair) na mke au mume wa mtu ni kosa kisheria?

    Kuna mwenye sample ya maombi ya wakili wa nje kusimamia kesiTanzania?
  5. E

    Msaada wa kisheria tafadhari.

    Ndugu ukifika muda wake kama hajalipa nenda mahakamani anawekwa tena ndani na kifungo kinaendelea
  6. E

    Najuuta kuwa na huyu sugar mamy, nipeni mbinu za kuachana naye

    MPE namba yangu anitafute,utaachana naye tu akinipata
  7. E

    Tupeane Taarifa benki zinazosuasua ili tutoe fedha zetu kabla hazijatangazwa mfilisi

    Opa ina cc ngapi,je mzuri kutumia kwa safari ndefu
  8. E

    Nyeupe na nyeusi kuhusu sifa za wanawake wa makabila kadhaa Tanzania

    Kama kuna ukweli fulani maana wote nimewagegedua
  9. E

    Zitto Kabwe: Sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii ukilipwa mafao unakatwa kodi

    Ni kweli nakubaliana na wewe kila mmoja acheze katika nafasi yake kutetea hili,kumbuka tuna wawakilishi majimboni kwetu ,ni wakati muafaka wa kuwafauata na kuwaomba kama wanaona siyo sahihi basi watetee hili kama ni sahihi basi poa .lakini kwangu naona siyo sahihi mbunge wangu wa jimbo la Kawe...
  10. E

    Maoni ya wanasiasa mbalimbali juu ya kujiuzulu ubunge wa Kinondoni, Said Mtulya

    Mi nachoka sana ninapoona siasa zisizo na mwelekeo,hivi kujitoa katika chama kwa sababu hawaendi utakavyo hii ni dalili ya nini? Siyo lazima wafuate mawazo yako na wewe unapaswa kufuata ya kwako,kama ni kwa sababu ya ukabila na wewe siyo mkabila hiyo inasound but much better ukawa change agent...
  11. E

    Mahakama kutokuwa na uwezo kusikiliza kesi

    Hizo ni taratibu za uendeshaji wa makosa ya jinai ,imelekezwa kisheria kwenye CPA(criminal procedure Act) mfano makosa ya mauaji,uwezo wa kusikilizwa ni mahakama kuu,za chini inapitia tu kwa utaratibu ampapo mtuhumiwa haruhusiwi kujibu chochote
Back
Top Bottom