Mkuu Elgibbor , kusimamia kesi Tanzania kwa non citizen inawezekana kama kutafanyika maombi maalum chini ya The Advocates Act, cap 341, s. 8 na 35 zikisomeka pamoja na the Advocates (Admission and Practising Certificate) Regulations, 2015, GN 62/2015. Waweza kufuata mtiririko wa maombi haya:Naomba sample ya maombi ya wakili wa Uganda kusimamia kesi Tz
Mkuu MUST kesi ulizohitaji za Patent na trademarks hizi hapa. Pia unaweza kurejea kesi ya Kiwi European Holdings BV v Sajad Ali Limited [2005] TLR 43
mkuu Dragon usaidizi wako unahitaji hapa, kuna kitabu uliwahi tuma hapa cha "The law and Practice of Investment Treaties" nilikudown kimakosa na nimejaribu kupitia hapa ili nidownload tena ila sijakiona, please naomba ukitume tena. Pili kuna mdau aligusia mambo ya money laundering, niombe pia kama utakuwa na zile kesi especially katika aspect ya kuprove zile predicate offence unitumie kwani nazihitaji, natanguliza shukrani.
Mkuu Jino kwa jinokelele utaratibu wa kisheria ni kwamba kiapo sharti kijibiwe ndani ya mda uliowekwa na mahakama, na kwa namna yeyote ile haiwezi kuzii kipindi cha siku 21. Kama mdaawa anashindwa kujibu kiapo basi automatically anakuwa amekubaliana na yaliyomo kwenye kiapo cha mleta maombi.Jamani naomba kuuliza, ninakesi Mahakama Kuu kitengo cha Kazi, jaji alipokuja aliniagiza nikarekebishe kiapo changu nanikafanya hivyo, chaajabu Respondet akiwakirishwa Na,Wakiri maarufu hawajajibu hizo hoja zangu Sasa miezi5 namimi nasimama Mwenyewe Sasa nauliza jaji akija nawao hawajajibu itakuwaje? Au sheria IPI itanisaidia kuwabana wasiombe tena mda??
Mkuu mayoscissors hizi hapa ni baadhi tu ya kesi zihusuzo malicious prosecution kama unavyotaka.Mkuu Dragoon,salama?Naomba msaada sample za kesi za malicious prosecution zifuhususo mwajiriwa na mwajiri ikiambatana mgogoro wa muda mrefu
Naomba unitumie kwa email. victorwacrispino@gmail.comNitafute PM mkuu, naweza kukupatia kwa email. Zina MB nyingi inakuwa haiwezekani kupakia hapa.
ASANTE SANA MZEE UBARIKIWE.Hii hapa kiongozi
Dragoon, nilikuomba msaada inbox, nisaidie please DragoonHii hapa kiongozi