Recent content by elementary

  1. E

    Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

    mkuu naona jina lako linashabihana na wakina nshomile na haujasahau neno "waitu"
  2. E

    I'm looking for a girlfriend

    Angalau umekuwa open, buddy, nasubir majibu kwa muhitaji niandae mchango wa harus.
  3. E

    Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

    mkuu kwan yeye kasema yuko wapi? unaweza kukuta mnafanya kazi pamoja hapo moshi,
  4. E

    Natafuta msichana wa kuhang nae out

    punguza udomo zege mkuu, mwanamke mzur ni yule unaemwambia unampenda by the time umemtazama na kuangalia reaction zake, sio unaandika maneno meeengi kumbe muoga wa warembo, ukifanikiwa hilo lete mrejesho.
  5. E

    Hivi ndio kipindi cha uchumba kinavyokuwa? Au choo nilichoingia sicho?

    USHAURI WANGU: Unatakiwa kumfanyia mtu kitu ambacho na yeye akikufanyia ujisikie vizuri. kazi njema.
  6. E

    Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

    Mwanaume akiwa mpole kupitiliza hata wakati wa kwichi-kwichi atashindwa kumfikisha bby ake kunako
  7. E

    Mkasa wangu

    kweli mkuu wewe chuo umepita tuu wala haukusoma chuo, ulipita kushangaa magorofa.
  8. E

    Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku

    mkuu naona hiyo tabia inakunyemelea hata ofisini.
  9. E

    Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku

    mkuu wewe ni mwanamke au mwanaume?
  10. E

    Wabunge Mkifika Bungeni, muache kupoteza muda kwa kupongezana

    Mkuu umejenga vyema mada yako, lakin hayo yote yataondoka baada ya kumpata spika hasiyekuwa na mahaba na serikali au chama chake, ukiwa na spika kama 6, Anne, na naibu spika Ndugai usitegemee kitakachobadilika.
  11. E

    Mwanamke mnene

    acha udomo zege braza yaan mademu wote mtaan unashindwa kuwa convince mpaka unaweka namba yako kwenye mtandao nimekudharau sana au wewe n team vibamia nini?!
  12. E

    Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

    umenichekesha sana mkuu kuhusu dr. mihogo.
Back
Top Bottom