Kwanini baadhi ya wanawake hupendelea kufanya mapenzi gizani?

Kwanini baadhi ya wanawake hupendelea kufanya mapenzi gizani?

Wizi mtupu wanavuta isia za wapinziwao wahaa wali au ambao wako nao kwasiri yani mumemwenza
 
Ni kweli,nadhan wanawake wengi wengi huwa wanaonea aibu maumbile yao..ni ishu ya kisaikolojia zaidi...giza liwasaidia mno
 
Nakuelewa mkuu. Ukiona hivyo aidha Ana alama isiyo ya kawaida hataki uone, au nyonyo zimelala au hajiamini tu.
 
Ipo hivi nimekutana na wanawake wengi na linapokuja swala la mapenzi wengi wao hupendelea kuwe na giza.

Je ni nini hasa siri ya hii kitu?

chungaza sehemu mnazo kutana 😀😀😀😀
 
Sasa utiane na wengine hukooo, tena umesema wengi alafu maswali uje utuulize sisi!! Si ungewauliza hao wazinifu wenzio, alafu kapime afya,then utubu na uache uzinzi.
 
Jibu lipo wazi sana, Mwanamke naturally ni mtu wa kuona haya sana, hasa hasa siku za kwanza inakuwa shida sana kubanua uchi wake huku ukimtazama live hajisikii kuwa na amani hata kidogo. Ndio maana unakuta si rahisi demu ukamvua nguo zote zote anaweza kuacha uvungu mdogo tu ili ufanye yako sasa gizani inampa moyo kwamba utakuwa humuoni akiwa wazi sana halafu pia ni kwamba moyo wake unampa shida wewe utamsoma vipi ili kila kitu kikiwa wazi? ndio sababu tu.

Lakini sasa ukikutana na mwanamke mzoefu katika mapenzi na makahaba wao huwa washakufa mdudu hata njiani nguo anaweza kuzivua akatembea na chupi tu.
 
Evelyn salt wewe unauliza kwn huonagi hizo sura mmmmm
 
Back
Top Bottom