Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM


kwa hiyo avatar lazima raia watoane roho....kumbeee
 
Mamii90 kama uko serious mimi nakufaa tafadhali ni PM au niruhusu nikuPM
 
Duu kweli dunia Imevaa gunia imefika mahala mwanamke anakosa mume wa kumuoa mpaka anakuja kuweka post humu utafikiri anatafuta ajira? Njoo pm nikupe mume mwema atokae kwangu sio kwa Mungu
 
Waliopo humu ni waume za watu tena wanaheshimiwa kwenye jamii kwakujiektisha na huwa hawatongozag ovyo mtaan au kazin, isipokuwa wanakuja kuubwaga umalaya wao humu kwasababu ya ID Na hawaönekan kwenye misele mtaan wanakuwa huru, so utalizwa.
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM
Usikute naye yupo mawindoni humu
 
Back
Top Bottom