Recent content by elcaptain

  1. E

    Raha ya kupanda daladala

    Baada ya miaka miwili ndo Dada anagundua kuwa biashara ya guest mkoani hailipi kama Dar?! ilikuwa haki yake kutapeliwa..
  2. E

    Roho ya mwanadamu

    Hii elimu nzuri Sana, ubaya wake inachagua watu wake wa kuielewa. Hakuna lamri hapa its pure science
  3. E

    RC MANYARA ndg Mnyeti na DED Ubungo ndani ya Dodoma kuvuruga uchaguzi wa UVCCM Taifa.

    Yani akili za ccm wanazielewa mwenyewe, sasa huyu kenge amepost huku hii habari ili iweje? au anataka mnyeti achukue nafasi ya kasim majaliwa!!?
  4. E

    RC MANYARA ndg Mnyeti na DED Ubungo ndani ya Dodoma kuvuruga uchaguzi wa UVCCM Taifa.

    Pambaneni na hali yenu, yani tuache kufatilia masuala ya msingi, mwishowe tuumize vichwa na uchaguzi wa UVCCM? Ningefurahi zaidi kama Mnyeti angeazima Makombora ya North Korea kuja kuwaangamiza UVCCM wote. Haya ndo Maisha mliyoyachagua tulieni ivo ivo dawa iingie. Tutaelewana tu as time goes on
  5. E

    Meseji ya mke wangu kwa mama yake inamtuhumu mama yangu kuwa ni mchawi

    Tuanzea hapa kwanza, akijibu nakuja kutoka comment.
  6. E

    Nauliza tu: Hivi Mbunge Jason Rweikiza huwa bubu?

    Dah!! Umenikumbusha mbunge wa jimbo langu Miaka 10 hajawahi hata kuuliza swali la nyongeza, namuonaga anagonga meza tu
  7. E

    Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    Duh!! Kweli ndege wanaofanana huruka pamoja....
  8. E

    Je,inaweza kuwa Rais Magufuli ndiye Mfalme Daudi wa kizazi cha sasa?

    Daudi Bashite au Daudi balali? Kuwa specific kidogo tafadhali..
  9. E

    Nani mmiliki wa kituo cha ZBC2 ?

    Wachambuzi wa masuala ya michezo mara nyingi wanakuwa sio waajiriwa wa kituo husika cha matangazo au mikataba yao itakuwa haiwabani kama atakuwa kaajiriwa ndo maana Jeff Lea utamwona azam tv, clouds na vituo vingine
  10. E

    Huu ndo usingizi wa Kim Jong Un

    Hahaha nilitegemea kukutana na comment kama hii
  11. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mkuu zaidi ya kuwaandalia sehem nzuri ya kutaga sina ninachokifanya wanatotoa wenyewe vizur tu, cha kuzingatia ni kuchagua mayai mazuri yasiyo na clerks, na kuku hawapend stress usiingie sehem wanazolalia mayai bila sababu za msingi. Kwa uzoefu wangu kuku wenye maumbo madogo ndo wanatotoa mayai...
  12. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Yanaanguliwa bila tatizo lolote mkuu, Kuku wangu wanaweza kutotoa mayai 14 kati ya 15 yaliyoatamiwa
  13. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Changanya pumba au chakula unachowapa na (layers) hicho ni chakula wanachopewa kuku wa mayai hakikisha layers na pumba zinakuwa na uwiano sawa laa sivo ukizidisha layers watataga sana bila kuatamia
  14. E

    Rais Magufuli nisamehe,nakushauri kwa mara ya mwisho. Tafadhali shaurika!

    Kila nikiona comment ya kujifariji ya design hii roho inaniuma sana, kama uchaguzi ungekuwa wa huru na haki tusingefikia hapa, namba zitasomeka kwa mda mrefu sana. Unadhani guts za kufanya haya madudu wanapata wapi? binafsi sitafanya ujinga tena wa kupanga msitari eti napiga kura. nonsense.
Back
Top Bottom