Nani mmiliki wa kituo cha ZBC2 ?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
22,800
51,002
Nafatilia michuano ya Afcon kwa ngazi ya vijana chini ya miaka 17 kupitia ZBC2 ndani ya king'muzi cha Azam Tv.
Wachambuzi wa ZBC2 ni wale wale niwaonao Azam two wakichambua La liga au VPL.

Je nani mmiliki wa ZBC2 kati ya Serikali ya Zanzibar au Said Salim Bakhresa?
 
Mmiliki ni Dr.Shein.
 
Wachambuzi wa masuala ya michezo mara nyingi wanakuwa sio waajiriwa wa kituo husika cha matangazo au mikataba yao itakuwa haiwabani kama atakuwa kaajiriwa ndo maana Jeff Lea utamwona azam tv, clouds na vituo vingine
 
jeff leah yupo na Clouds kumbe? Labda Clouds ya huko kwenu Kiwira
 
Nafatilia michuano ya Afcon kwa ngazi ya vijana chini ya miaka 17 kupitia ZBC2 ndani ya king'muzi cha Azam Tv.
Wachambuzi wa ZBC2 ni wale wale niwaonao Azam two wakichambua La liga au VPL.

Je nani mmiliki wa ZBC2 kati ya Serikali ya Zanzibar au Said Salim Bakhresa?
Said a bakhresa ni mzenjbar zbc ya zenjbarnn unataka afcon au mmliki?
 
Azam One, AZAM TWO, AZAM HD, UTV, ZBC2, na Sinema Zetu.
Hizi zote mmiliki wake ni mmoja SAID SALIM BAKHRESSA na zote zinapatikana kwenye king'amuzi chake cha AZAM TV (Burudani kwa Wote)
 
Back
Top Bottom