Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,122
- 13,392
Bibi swaumu imemvurugaAsprin njoo huku babu yangu,bibi simuelewi umemfanya nini?
Bibi swaumu imemvurugaAsprin njoo huku babu yangu,bibi simuelewi umemfanya nini?
Jana Jumapili ilikuwa siku ya kazi kwa sisi wengine. Niliamua kupanda basi kwa usumbufu wa parking na si kuwa na safari nyingine zaidi ya kazi na kurudi nyumbani.
sio kila mtu wa kumuamini, hata ikiwa umesoma au umekutana nae wapi....Ujumbe??
unataka sehemu ya pili binamu...?Kwahiyo ndio imeisha jamani
Nataka sehemu ya pili binamu ikiwekwa uniite haiwezekani iishie katiunataka sehemu ya pili binamu...?
Mbwembwe tu usiamin kila story jf,wengine ni watoto tu wamemaliza form ivSky hivi kwa mtogole mnapaki wapi magari yenu![]()
Omba msamaha ukiwa huna pombeKuna jamaa alikuwa mshkaji wangu sana kazini.na ndie alinifanyia cross nikaingia hapo kazini.
Huyu jamaa alikuwa na roho ambayo ni wanadam wachache sana wanazo.
Alinisaidia sana tena sana!
Baadae akapangiwa uhamisho sehem na pale nilipobaki mi akaletwa mwingine.
Yule mshkaji akawa ana hang baada ya uhamisho kuahirishwa!
Duuhh jamaa alipata tabu afu nilikuwa napata hela sana nikawa simkumbuki wala kumpa hata mia.lakini moyo ukawa unanisuta sana kuacha kumsaidia huyu jamaa hadi nikawa namuota!
Akapata ajali ya pikipiki nikaenda mara moja tu kumchek sikurudi tena mbali na kunisaidia kuliko chchote.
Siku ya siku si nikapunguzwa kazi tena nikarudi kitaa.maisha yakaanza kunicharaza sasa.
Jamaa akapona akapata kazi nzuri kuliko ile ya mwanzo lakini je nitamuombaje anisaidie ilhali nilimtenga flani??!!
Nikaamua kufa na tai shingoni.
Jamaa ilivyotokea gepu tu chapu akaniita akaniingiza tena kwenye hiyo kampuni aliyokuwapo!
Kuna siku nimelewa nikaanza kulia huku namuomba msamaha km nilishamkosea.
Jamaa ananiambia haya ni maisha tu usiyawaze!hadi leo nimejifunza na nna adabu nasalimia hadi watoto shikamoo
nami mwenyewe naisubiri....Nataka sehemu ya pili binamu ikiwekwa uniite haiwezekani iishie kati
yaani inashangaza kabisa....Sky hivi kwa mtogole mnapaki wapi magari yenu![]()