Juzi nimesikia Kagasheki hafahamu kwamba Nyarandu ana miliki kampuni ya Tours, sasa Jana nasikia KM hawezi toa maamuzi ya tukio la mzungu aliyekamatwa pale KIA akisafirisha nyara bila kibali maalum, kisa huyo mzungu ana fahamika kwa mh. Waziri,
Haijapita week Waziri wa Maliasili alinukuliwa...