Sure! siku zote walikua na visa card na ATM zinazopokea visa, uko sahihi mkuuu pengine you are too reluctant to see changes
acha mawazo mgando uitaka uwekewe ATM chumbani kwako iliujuwe kuwa ni mabadiriko kenge nini?
Sure! siku zote walikua na visa card na ATM zinazopokea visa, uko sahihi mkuuu pengine you are too reluctant to see changes
Habari ambayo bado haijathibitishwa ni kwamba NBC imenunuliwa na BARCLAYS BANK na serikali imeuza hisa zake zote na ABSA nao wameuza hisa zao zote kwa BARCLAYS. Tusubiri muda utaamua. Kwa hiyo Mafuru amejiondoa maana anajua kinachoendelea
I personally would have done the same after the allegations!!
nice observation/Sure! siku zote walikua na visa card na ATM zinazopokea visa, uko sahihi mkuuu pengine you are too reluctant to see changes
benki inayofata misingi ya kiislam
nice observation/
En contraire, mimi hizo debit cards hata mimi nimezisikia, ila sikuchukua maana sikuona mantiki kua na debit card while it take 30-90 minutes just to complete basic banking transaction like to deposit some funds in my account. At least I can maintain my CRDB debit card, maana I can recharge my account through M-PESA or Airtel Money, and confirm my balance online which sounds like magic in Tanzanian standards ! (Though I'm still looking for better service provider)
NBC haijanunuliwa na Barclays ila ABSA imenunua Barclays Bank Africa,hivyo basi wote (NBC & Barclays Tanzania) zipo chini ya ABSA ambayo ndio benki mama inaayo miliki NBC 55%, at present NBC wapo kwenye restructuring hivyo Mafuru alikuwa anapigwa chini muda sio mrefu..ameamua kukwepa hilo nakuokoa image yake kwa public..Nampongeza Sana kwa Hatua hiyo ya kiungwana.
safi sana mafuru .... Maamuzi mazuri...... Kila la heri on your new lyf...........
CRDB has to do more,mkuu. Online banking yao wangeiongezea facilities kama fixed account (not active for now) na kutuma pesa kwa accoutn ingine ya CRDB (at least kwa kuanzia), huudma ya kuangalia salio na kuona statements wanazotoa hivi sasa bado ni vitu basic sana, hata hivo ninavoviomba waongeze it is still very basic. They have to do more and be more aggressive/Yeah, its true, na siyo suala la kupiga debe, CRDB Debit Cards (Visa na Master Cards) are the best so far. NBC Master Cards bado sana hata huduma za kibenki NBC bado zipo zile tunazoita za kizamani!
NBC sucks.
Merry (belated) X-mass cuzo!
mmhm kwa taarifa za ndani zinadokeza kuwa tuhuma alizotuhumiwa nazo zina ukwel kwa kiasi kikubwa ila kutomharibia heshima yake mbele ya jamii ndo wakakubaliana kuwa wamrudishe alaf baadae aache kazi akishapata sehem nyingne. ukitaka kujua ukweli juu ya hili ni kuwa toka baada ya kurudishwa ofcn alikuta ABSA wamemleta acting MD mzimbabwe Mafuru alikuwa ni kama anakabidhi ofc na taarifa zilizopo ni kuwa amepata kaz kampuni kubwa ya mafuta iliyobadisha jina hvi karibun! lets wait n kama hatoanza kazi hyo mpya kama MD kwny hiyo kampun ya mafuta! nawasilisha
Hey cuzo, thank you.
But where is my present?
Hujaipata?, I shipped it!