Recent content by Elai

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

    Huo ni mkopo utarejeshwa. Kwa nini umpangie matumizi mkopaji? Labda kutoa elimu ya fedha japokuwa bado maamuzi yatabaki kwa mkopaji
  2. E

    JamiiForums Tanzania Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

    Arusha jiji pia hakuna umeme
  3. E

    JamiiForums Tanzania Simba imepiga bomu Mochwari, Kelele kama zote

    Je, current form wapoje?Wapo hoi. Hata kusafiri wanasubiri kusaidiwa na chama chao cha soka. Kiuchumi hoi, utawala wapo hovyo. Imewaatihiri sana kwenye ubora.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hawa Marefa wasipodhibitiwa watatuharibia mpira

    Tabia hizi za marefa zimekomaa kwa sasa kwani zilianza muda mrefu. Hata kipindi cha 2017-2021 kwa simba kupewa penalty kama hizi imetokea sana. Lakini wadau mlikuwa kimya. Mnafikiri itakuwa rahisi wakati kidonda kimekomaa.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hata TTCL wamepandisha bei ya vifurushi

    Hakika wameua. Mimi nilikuwa halotel, walipopandisha gharama nikambilia ttcl. Sasa sijajua nikimbilie wapi?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba anapigwa 5 _0 na Orlando pirates

    Hilo silipingi. Hata mimi ndoto niliyo nayo the same to yours. Tusubiri matokeo. Tutarudi hapa kukamilisha ndoto.
  7. E

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na Wizara ya Elimu, michango mashuleni imerudi?

    Elimu bila ada. Hivyo, michango ipo
  8. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye excel!

    Changamoto aliyonayo hata mimi ilinikuta. Tusubiri wajuzi watatusaidia.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye excel!

    wataalamu wa excel msaada. Mimi ni mwalimu. Nina orodha ya wanafunzi wangu na alama walizopata katika mtihani. Lengo ni kubadilisha alama katika asilimia kwenda kwenye mfumo wa daraja A, B, C , D OR F kwa kila somo. Changamoto inakuja pale ninapo kopi formula ya nested if function. Kwenye...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa program nzuri ya ku - type Mathematics

    Tumia MS word ya kuanza 2007 ina alama nyingi sana za hesabu.Nenda INSERT->SYMBOL utazikuta. Hata maumbo yanapatikana kwenye word. Nenda INSERT->SHAPE utayakuta.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa link wadau...

    Ninaomba msaada wa link inayoweza kunipeleka ku-download drivers zinazoweza kufanya kazi kwenye printer yoyote. Iwe ni ndogo tu (light weight). Nimepekua sana nimeshindwa kupata.Ninatumia windows 7 starter, 32 bit.Ninatanguliza shukrani kwa msaada wenu. Ahsante.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada kuhusu settings za internet kwenye tecno T612...

    Nimenunua simu tecno T612. Nimekwa kwenye settings za internet. Msaada tafadhali.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wanakwaya Arusha Walipuliwa kwa Bomu

    Niliweka link(Habari Leo) kukupeleka kwenye habari na chanzo chake.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Wanakwaya Arusha Walipuliwa kwa Bomu

    Niliweka link(Habari Leo) kukupeleka kwenye habari.
Back
Top Bottom