Recent content by Ekam

  1. Ekam

    JamiiForums Tanzania The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    The bold vipi tena muendelezo?
  2. Ekam

    JamiiForums Tanzania Je, Annunaki waishio "Sayari" ya Nibiru ndio waliowaumba Wanadamu ili wawatumikishe kuchimba dhahabu ya kusaidia kukarabati Sayari yao iliyoharibiwa?

    Na hauwezi kuelewa hapa swali linajibiwa kwa swali sasa sijui utaelewa vipi mkuu?
  3. Ekam

    JamiiForums Tanzania Wasanii wakiume kwanini mnapenda kuvaa heleni?

    Ni sheria kuwa na muonekano wa kistaa uvae hereni? Ina maana bila kuvaa hereni bado hujaonekana staa?
  4. Ekam

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongofleva mnatia aibu kuwacopy wanigeria

    Nigerian flavour in the name of bongo flavour. Sisi hatuna flavour za kwetu na hata kama zipo tumeshindwa kuwa wabunifu sana ukiangali nigeria beats zao zimetoka kwenye midundo ya nyimbo zao za asili wakazidevelop kisasa zaidi ona mambo yanavyonoga. Sisi tuna makabila mengi lakini maproducer...
  5. Ekam

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu umeongea point sana Kubet siyo kwa kila mtu mkuu ukiona mambo hayaendi sawa mtu uache kubeti na utafute mambo mengine ya kufanya.
  6. Ekam

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Acheni ubishi uliowazi wakuu kwa zama za soka la sasa morinho na mfumo wake ushapitwa na wakati huo ndio ukweli ambao mashabiki wa morinho hawataki kuusikia
  7. Ekam

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahhaaa jamaa anakwambia ni uhakika 100%
  8. Ekam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akioga tu ananiomba nimpake mafuta mgongoni, haijalishi muda lazima aje kunigongea

    Kwa akili hizi sijui nani wa kulaumiwa
  9. Ekam

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Angalia game mkuu league bado haijaanza hakuna maumivu hata ukifungwa. Psg leo kachezea mkono kutoka kwa arsenal
  10. Ekam

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Premier nawakubali katika Odds tatizo lao wapo slow katika kuwithdraw zaidi siku za weekend ndio hawatoi pesa kabisa
  11. Ekam

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Tundu (Hollow) katika Ncha ya Kaskazini linalotoa miale ya Mwanga kutokea Ndani ya Dunia?

    Aliens aliens vurugu tupu tu kama wapo watajitokeza tu
  12. Ekam

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Referral
  13. Ekam

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wazungu nao kuna muda wanakosa akili.
  14. Ekam

    JamiiForums Tanzania The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Alisema jnne saa 10
  15. Ekam

    JamiiForums Tanzania The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    The Bold usikose kunitag episode ya pili aisee
Back
Top Bottom