Wasanii wakiume kwanini mnapenda kuvaa heleni?

Wanaume wa kimasai tangu enzi za jadi wamevaa herini na kusuka nywele. Kwa mmasai ruksa kwa vijana wa mji noma. Tuache ubaguzi wa kitoto.
 
ni ulimbukeni tu unawasumbua,tena huwa hawapendez ht kidogo wakivaa hiyo mihereni wanafanana na shetani mtoa roho.
 
inatisha! Wazee wasanii wa zamani hereni hazikuwa na chance kabisa.
 
What is the meaning of wearing an earring on the left ear?

Answer:

Modernly, most males will get their left ear and not their right, because the right ear means they are homosexual. Some males prefer not to believe in such rubbish and will wear piercings in their right or left or both ears.

Read more:
[url]http://wiki.answers.com/Q/What_is_the_meaning_of_wearing_an_earring_on_the_left_ear[/URL]
 
kazi ipo tena pevu.kuvaa kusho inafaa ila kulia tu.
 
Nauliza tu.utaona msanii kama hajatoga sikio basi kavaa heleni za kubandika.

Wenyewe wansema ukiwa staa lazima ujitofautishe na watu wengine; Cha ajabu mastaa wakiume wanajitofautisha na watu wengine(wanaume wenzao) na wanakaribia au wanafanana na watu wengine (wanawake)
 
yaani hapo tu mie nachoka.duniani kuna wasanii wengi tu ambao hawavai hereni, na bado wanamafaniki zaidi
 
Back
Top Bottom