Ndio waamuzi wetu wa TZ hao mie naona sawa tu maana kuna magoli mengine huwa yanafungwa kihalali kabisa lakn yanakataliwa kwamba ni off side
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kufungiwa kunawahusu zaidi wale mil 6 waliokwishapewa namba za NIDA mpaka sasa hawajajisajili na wale ambao hawakuwahi hata kujaza fomu za NIDA kuomba vitambulisho
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.