Second President of the Republic of Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi dies at 95

IMG-20200204-WA0004.jpg
 
Rais wa pili wa Kenya mzee Daniel Arap Moi amefariki dunia.Rais Moi ambaye kabla alikuwa makamu wa Rais wa baba wa Rais wa sasa Jomo Kenyata alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja.

Source Rfa Matukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbele yetu nyuma yake.
Tu mavumbi na mavumbini tutarejea hata tukiwa na mabavu kiasi gani.
 
Poleni sana ndg zetu Kenyan kwa msiba huo mkubwa kwa Taifa lenu, Mzee Moi (Mtukufu Daniel Arap Moi) ameitwa kwa Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom