Hata ACC pia ni gombania goli siku hizii,nina jamaa zangu wengi tu wamemaliza o'level tu na wana matokeo ya kawaida sana hata credit hawana, wameunga unga kozi ya uhasibu kutokea cheti,wengine walianza na ATEC I mpaka sasa hivi ni CPA holders ingawa wamepitia changamoto za ugumu wa hiyo...
kuna mijitu imepita zama hizo ilikuwa mibishi na viburi kuliko wewe,alafu utakuwa wewe kamtu kadogo dogo tu ukiumwa malaria macho yanakutoka umeshiba wali na maharagwe kisha unakuja kupinga kuhusu malaika mtoa roho,subiri utamuelewa vizuri safari yako itapokuwa imefika,kikubwa kinachokupa jeuri...
. Kuna kile kipengele cha minimum education level,naomba mnifahamishe,wamesema vocational and equivalent qualifications are not acceptable,inamaana kwa mm ambaye nina CPA YANGU NA TANGU CERTIFICATE NIMESOMA NBAA MPAKA CPA SIWEZI KUOMBA HII KITU,manake yangu mm ni equivalent...
Wakristo wengi wengi wanajifanya mke ni mmoja wa kufa na kuzikana lkn huko nje wanamakoloni kibao ambayo washazalisha na kuyazalisha sijui ndo nini sasa
hiyo ni kweli huwa hazikai na moto hii ni kutokana na zile simu ni mitumba,kama unataka kuenjoy unapopata simu nenda kabadilishe battery,mm nilifanya hiyo as HV kiasi ipo vizuri.
hiyo ni kweli huwa hazikai na moto hii ni kutokana na zile simu ni mitumba,kama unataka kuenjoy unapopata simu nenda kabadilishe battery,mm nilifanya hiyo as HV kiasi ipo vizuri.
Naipenda sana liverpool fc chama langu,lakini kwa yale magoli tuloruhusu kule Spain,ni mengi sana,hata kama wachezaji wote wangekuwa fit kuwatoa Barcelona bado ingekuwa ngumu.
Hapo cha muhimu kesho timu ikapambane tu hivyo hivyo ila isijisahau sana manake tunaweza dhalilishwa palepale na hiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.