Sitaomba kazi tena, wacha niwe jeuri tu!!

Wakuu naandika huu uzi inshort nmeridhika sahivi sina hta nyege ya ku apply kazi yotote ile kama kutafuta kazi nmetafuta nimechoka na upper second nzuri tu lakin ndo hvo nmeenda kila kona patupu, nmeenda taasisi zote unazozijua wewe hapa dar patupu, nimefanya kila naloweza fanya nipate hta connection patupu, sisi watoto wa wakulima ambao hatuna ndugu huko maofisin iwe bahat yako tu, nimeshangaa hapa mtaani mtoto wa mtu mkubwa tu hana kazi tunacheza ps wote kitaa.

Sasa sahiv me si apply kazi kama ipo, ipo tu siforce mambo huwez jua mungu ananiepusha na nini, utakuta mtu anatafuta kazi anaandika uzi humu Jf lijitu linatoka wapi lina comment shit eti jiajir how wkt sina pesa, ukisema uende bank unakutana na collaterals mwingine anakwambia uza mchicha, nyanya hivi msom wa chuo auze nyanya gengen kwel?? Au mwingine anakwambia uza karanga wtf??. Afu wa form4 afanye nn??

Nashukuru mungu wazaz wangu ni wazma wote nakula, nakunywa wanajua hali halis sina kaz wananihidumia. Nikiamka asbh nakunywa chai fresh, mchana nakula usik nakula maisha yanatak nn kwangu. Nikichoka naenda seblen kuchek movie sina habar life linaenda nimepoteza pesa nyingi kutafuta kaz bila mafanikio sasa nimeamua kutuliza akili. Kama biashara nilianza ikafa utanambia nn nifanye?.

Wale jobseekers wenzangu tusikate tamaa kama ipo ipo tu usiforce mambo. Wanaokwambia fanya biashr unakuta yy anakaz na mikopo anayo. Trust nobody except your parents and Live your life.
Una taaaluma gani???
 
Huyo anayekuambia uza mchicha. Mwambie aache kazi uone atakavyokutukana. Cha ajabu sasa na yeye akifukuzwa kazi utamkuta amebeba bahasha anatafuta kazi. CCM wanaimba Hapa kazi tu lakini kila siku wanaiba kodi za watanzania. Ishi unavyotaka kwasababu yote ni maisha
 
hahahahah we jamaa umemaliza chuo gani aiseee? huu uandishi wako umenifurahisha
watawala angalieni mfumo wa elimu nchini up[itiwe upya na product zinazozalishwa huko
Acheni kujitia ujuaji!! Sijaona kosa lolote kwenye uandishi wake zaidi ya matumizi ya vifupisho, na inaeleweka kwa sababu hii sio formal writing! Kosa ambalo kimsingi ndo kosa kwenye uandishi wake ni matumizi sahihi ya punctuations, hususani nukta. Matokeo yake, sentensi zake zinakuwa ndefu in excess, jambo ambalo si ajabu sana kwa asiye mwandishi. Lakini ukimsoma vizuri, utaona ni mmoja kati ya wasomi wachache sana wanaofahamu wapi panapaswa kuwa na "l" na wapi panastahili kuwa na "r"
 
Afadhali na wewe umeona loh
 
Kwahyo utaka hapo hadi llini nyumbani kwenu embu waambie wazazi wako wakupe mkopo ununue bajaji andesha mwenyewee au ama hapo kitaa kaanze maisha yako kama yako kwa kurndesha bajaji

Pesa nilipewa 2m busn ikafa niliweka effort zangu zote kwenye busn but ndo hvo but now niombe tena haimake sense hawawezi nielewa.
 
Kwahyo utaka hapo hadi llini nyumbani kwenu embu waambie wazazi wako wakupe mkopo ununue bajaji andesha mwenyewee au ama hapo kitaa kaanze maisha yako kama yako kwa kurndesha bajaji
We Jamaa nmekufwatilia sehemu nyingi sana yaani ni unamwandiko mbaya balaa
 
Huyo anayekuambia uza mchicha. Mwambie aache kazi uone atakavyokutukana. Cha ajabu sasa na yeye akifukuzwa kazi utamkuta amebeba bahasha anatafuta kazi. CCM wanaimba Hapa kazi tu lakini kila siku wanaiba kodi za watanzania. Ishi unavyotaka kwasababu yote ni maisha
Kwahyo unataka hao sisiem wakwambie "hapa ni kulala tu" maendeleo ni wewe sio sisiem wala chadema
 
Kaa home kula karanga za bi mkubwa..maliza ma juice kwenye friji Zeekea home wazazi wako wakulishe hadi uzeeni...

Kubwa zima.....

Eti mama na baba wapo hai wanaweza nilisha blal full...na watakulisha kweli ila kumbuka nawewe unatakiwa kuitwa mzazi siku 1...endelea kukalisha makende hapo HOME.

dharau kazi na hicho ki upper second chako...Mpaka uje utolewe mahari hapo home ndio akili itakukaa vizuri ujiulize hvi inakuaje mimi wakiume natolewa mahari...

Mshua wako akichoka hakika Atakula mahari yako...ukahudumie huko
 
Kwahyo unataka hao sisiem wakwambie "hapa ni kulala tu" maendeleo ni wewe sio sisiem wala chadema
Ukisema hapa kulala tu inanisaidia nini mimi? Hapa kazi tu inanisaidia nini mimi? Ni mambo mengi sana ya kufanya kuliko huo ugoro wao wa hapa kazi tu na wako wa hapa kulala tu. Hapa kazi tu ni kauli za kuwadanganya wajinga wasiolewa nini wanafanya katika hii dunia.
Maendeleo kwenye nchi yoyote ile inategemea vitu viwili
1. Mtu (Wewe). Juhudi ya mtu binafsi
2. Serikali-Kutengeneza mazingira salama na kutengeneza fursa, kuimalisha ulinzi, kuweka kodi stahiki n.k
Najua unaakili finy huwezi kunielewa. Nenda ukafanye biashara Syria au Somalia. Nafikiri mpaka hapo utakuwa umeipata pointi namba mbili 2.
Maza fanta
 
Kwa kweli issue ya Ajira haijakaa sawa mkuu ila nakushauri tu andika CV yako nzuri na cover letter yako vizuri kabisa alafu kila siku hakikisha unaaply walau kazi mbili za mashirika binafsi (utazikuta brighter monday, ajira leo etc etc) ndani ya mwezi waweza itwa na ukapata nafasi walau ya internship mkuu ikakuendeleza kwenye career yako na utasahau habari za home kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom