Haya kwa wale wanaotaka kwenda kuishi amerika na kuapata green card Uraia wa Amerika

Khalid90

Member
Joined
Jul 6, 2017
Messages
48
Points
95

Khalid90

Member
Joined Jul 6, 2017
48 95
Daaah...so marekani ntakua naenda kama naenda Temeke tu

So chance ya kuwin ikoje (probability) na per country (Tanzania) wanapewa wangapi kikawaida?
Zile nchi ambazo hazijapeleka raia wake kwa wingi kule US zinapewa nafasi nyingi sana kuliko zilizopeleka ila wanasema at least kila nchi isipungue 7% ya hao watu elfu 50.
Ishu nyingine ni kuwa unapewa permanent resident na haina limit. Kuishi na kufanya kazi.. so lottery ikikuangukia umepasua japo unakuwa sio raia ila unaishi for idefinite time.
Mambo mengine yote utajitegemea
 
Eidj5

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
505
Points
500

Eidj5

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
505 500
Zile nchi ambazo hazijapeleka raia wake kwa wingi kule US zinapewa nafasi nyingi sana kuliko zilizopeleka ila wanasema at least kila nchi isipungue 7% ya hao watu elfu 50.
Ishu nyingine ni kuwa unapewa permanent resident na haina limit. Kuishi na kufanya kazi.. so lottery ikikuangukia umepasua japo unakuwa sio raia ila unaishi for idefinite time.
Mambo mengine yote utajitegemea
. Kuna kile kipengele cha minimum education level,naomba mnifahamishe,wamesema vocational and equivalent qualifications are not acceptable,inamaana kwa mm ambaye nina CPA YANGU NA TANGU CERTIFICATE NIMESOMA NBAA MPAKA CPA SIWEZI KUOMBA HII KITU,manake yangu mm ni equivalent qualification
 
Forum statistics

Threads 1,344,041
Members 515,307
Posts 32,805,699
Top